Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

Jamani ahsanteni wote mlionipa hongera, ahsante kwa wanafunzi wenzangu mlionipm tukabonga mawili matatu. Ahsante wote mlionisimanga, mi nasign out maana kavocha kwenye simu kameisha. Lol. Mbaki salama.
 
Hongera mkuu. Kumbe ndo kwanza umemaliza form 4. Kaza buti zaidi.
 
Jamani ahsanteni wote mlionipa hongera, ahsante kwa wanafunzi wenzangu mlionipm tukabonga mawili matatu. Ahsante wote mlionisimanga, mi nasign out maana kavocha kwenye simu kameisha. Lol. Mbaki salama.
Zile past papers mwachie King'asti ntazipitia kesho wakati naenda shule.... Ubaki salama na wewe swahiba!
 
mtumeeee!?:shock:

lol,...sikujua nawe ni underage...
moskwito bana. Hivi kuna andaeji katika masomo ya baiolojia ya uzazi? Mwendhio amegradyueti fom foo a.k.a mtoto wa nne kila mtoto na babaye tena bila kufanyiwa operesheni. STUKA!
 
Jamani ahsanteni wote mlionipa hongera, ahsante kwa wanafunzi wenzangu mlionipm tukabonga mawili matatu. Ahsante wote mlionisimanga, mi nasign out maana kavocha kwenye simu kameisha. Lol. Mbaki salama.

Hongera zangu zikufuate huko huko!!
 
moskwito bana. Hivi kuna andaeji katika masomo ya baiolojia ya uzazi? Mwendhio amegradyueti fom foo a.k.a mtoto wa nne kila mtoto na babaye tena bila kufanyiwa operesheni. STUKA!

khaaa! Babu babu babu....
 
Husn ! Congra !
Basi mi kuna shan'kupe mmoja aliniuma sikio akanambia unafanya kazi TRA , kumbe doo!
Mkoko ndiyo kwanza unaalika maua !
 
Back
Top Bottom