vipi kuhusu firstlady wakusoma, senator, figganigga na tusker baridiii? je wamefaulu?
Tehe tehe tehe tehe! Uwiiiiiii mbavu zangu! Daaah!Hebu rudia tena, maana kicheko chako ni kitamu kama .......
Hongera kwa kufungana na mtoto wa mkulu..me nina foo ka ile ya mwanaasha j k.i.k.w.e.t.e.
Tehe tehe tehe tehe! Uwiiiiiii mbavu zangu! Daaah!
Umefurahi kada?
Sijui nimeandika nini swahiba, nimepost nkashangaa zimetokea! Nahisi nilikosea kutype PAW akanirekebisha kwa kuweka nyota....lol.nilipata habari, familia tunamuuguza ndio maana tunapotea potea. Swahiba hizo nyota nyota umeandika nini?
Sijui nimeandika nini swahiba, nimepost nkashangaa zimetokea! Nahisi nilikosea kutype PAW akanirekebisha kwa kuweka nyota....lol.
Haya ndio madhara ya kupost jf huku nafanya home work ya biology!
Nafurahi kama umefurahi....Zaidi ya kufurahi, mpaka mbavu zimeanza kuuma na vile madoctor mambo yako safi sikubania kicheko maana hata madhara yangenipata madoc wapo kuwork. Kwi kwi kwi kwi kwinyu
Mwenzenu nina furaha ya ajabu. Naombeni pongezi zenu. Hongera wanafunzi wenzangu wote mliofaulu. Nawatakia masomo mema.
pole sana, hiyo topic ya reproduction utaisoma b'dae. Sahv muda wa kupiga umbea. Halafu kuna kitu gani kinaendelea we na kadakib? Mi nasoma btn lines ujue!
khah!
Yako inatosha kwenye hot pot?
Huo utakuwa advanced ukunaji nazi
lakini basic ukunaji hautoshi kwenye hot pot
Hakuna chochote swahiba! Kada tunasoma nae darasa moja sasa kuna mwalimu tumemkumbuka ndio mana twachekeshana!..pole sana, hiyo topic ya reproduction utaisoma b'dae. Sahv muda wa kupiga umbea. Halafu kuna kitu gani kinaendelea we na kadakib? Mi nasoma btn lines ujue!
Nafurahi kama umefurahi....
Cheka kwa raha zako mwaya, ukiteguka mbavu madoc wako wa kutosha!... Uniite nikusindikize!
Afadhali umenisaidia kufafanua manake husni ni mnoko sana, angeenda kusema kwa mama...Usihofu ati, tunadiskasi bayoloji pamoja, huku kwa pembeni tukiwa tunajiJF.
Khaaa!Hongera nJoo chumbani nikunon'goneze kitu
Nipo kwaajili yako, usijali kabisa!Nitakuita haraka iwezekanavyo