Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

husninyo kumbe wewe denti? mmmh hongera lakini naona umefata nyayo za dadako hapa nilikula one ya 10 enzi zile sijaanza na mabazazi

big up dada, mabazazi yanaharibu eeh! Nikienda shule sitowachekea. Lol.
 
hongera HUS, mwaka jana MS alitangaza kufanya paper ila matokeo akayaweka kapuni.

ahsante dada, mi nimefanya kimya kimya ila nimeshindwa kuizuia furaha. Si unaona matokeo ya wengi mabaya! Acha nifurah.
 
Tehe tehe tehe tehe! Uwiiiiiii mbavu zangu! Daaah!

Umefurahi kada?

Zaidi ya kufurahi, mpaka mbavu zimeanza kuuma na vile madoctor mambo yako safi sikubania kicheko maana hata madhara yangenipata madoc wapo kuwork. Kwi kwi kwi kwi kwinyu
 
nilipata habari, familia tunamuuguza ndio maana tunapotea potea. Swahiba hizo nyota nyota umeandika nini?
Sijui nimeandika nini swahiba, nimepost nkashangaa zimetokea! Nahisi nilikosea kutype PAW akanirekebisha kwa kuweka nyota....lol.

Haya ndio madhara ya kupost jf huku nafanya home work ya biology!
 
pole sana, hiyo topic ya reproduction utaisoma b'dae. Sahv muda wa kupiga umbea. Halafu kuna kitu gani kinaendelea we na kadakib? Mi nasoma btn lines ujue!
 
Zaidi ya kufurahi, mpaka mbavu zimeanza kuuma na vile madoctor mambo yako safi sikubania kicheko maana hata madhara yangenipata madoc wapo kuwork. Kwi kwi kwi kwi kwinyu
Nafurahi kama umefurahi....

Cheka kwa raha zako mwaya, ukiteguka mbavu madoc wako wa kutosha!... Uniite nikusindikize!
 
pole sana, hiyo topic ya reproduction utaisoma b'dae. Sahv muda wa kupiga umbea. Halafu kuna kitu gani kinaendelea we na kadakib? Mi nasoma btn lines ujue!

Usihofu ati, tunadiskasi bayoloji pamoja, huku kwa pembeni tukiwa tunajiJF.
 
pole sana, hiyo topic ya reproduction utaisoma b'dae. Sahv muda wa kupiga umbea. Halafu kuna kitu gani kinaendelea we na kadakib? Mi nasoma btn lines ujue!
Hakuna chochote swahiba! Kada tunasoma nae darasa moja sasa kuna mwalimu tumemkumbuka ndio mana twachekeshana!..
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom