Nilikua siijui jamii Forums

Surprise

Member
Apr 15, 2011
12
5
Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu.

Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo.

Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?
 
Pius hanajifanya amjui adui wa chama chake?mzee amepotoka ucant avoid social netwok kwa maslai ya chama,inawezekana na yy yumo humu ila ndio hatumjui,makamu mkiti bado apange jinsi ya kukinusuru chama,anapambana na kivuri,kazi kwelikweli
 
Kwanza hapa JF huwa tunakaribishana baada ya kupiga hodi...ndio silsila ya UTU & UUNGWANA.
Hivyo kabla hujarukia kwenye yaliyokushinikiza kuja hapa JF...chonde bisha hodi maana BADO hujasoma posts zote kama usemavyo, hii ndio desturi ya uungwana popote duniani kubisha hodi nasi tutakukaribisha na utaendelea kujumuika na wadau hapa jamvini.
Hivyo ninakukaribisha in advance kuwa 'KARIBU' na ndipo uendelee, waila tunaendelea na mada yako usikhofu.
 
Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu.

Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo.

Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?
Karibu ndugu tupo wengi sana humu, wa chama chetu! UKWELI UNAUMA SANA MKUU, CCM IMECHOKA!
 
km ulivoanza vizuri, jitahidi tu usiandike pumba coz utaiona JF chungu. karibu sana. Lakini mbona umekimbilia moja kwa moja jukwaa la siasa?? au mwenzetu na wewe MWACHIACHA!! natania tu.
 
Hajui asemalo huyo mzee...Anaona ameikomoa JF kumbe ndo anaipandisha machati!!
Karibu sana Kiongozi!
 
Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu.

Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo.

Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?

Chama cha Mafisadi wanatapatapa
 
Back
Top Bottom