Nilikua siijui jamii Forums

Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu.

Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo.

Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?

Karibuu sana ingawa una-sound mwenyeji kweli kweli
 
huu ni mtambo wa kurekebisha tabia za viongozi ambao awana maadili ya uongozi na kujifunza mengi kuhusu siasa maswala ya afya, mahusiano, na kuifahamu dunia zaidi na yanayo endelea dunia kote ila kama wenzangu walivyosema ndani ya jf ni utaifa kwanza na kutetea haki pius msekwa anatutembelea sana humu ndani na mengi anayapata ana muabarisha na mwenyekiti wake kwamba ccm saizi aipendwi, kajionea mwenyewe na mimi nashukuru unabii unatimia
 
Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu.

Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo.

Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?
Karibu sana Surprise. Kadiri utakavyokuwepo hapa ndivyo utakavyoielewa JF. Na bahati nzuri hapa sio kama kwenye maskani za CCM ambapo wakikujua si mwenzao wanakutimua moja kwa moja. Karibu jamvini tujenge taifa.
 
Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu.

Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo.

Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?
haha mmh altak ujue
 
Tatizo la hao wakubwa wenu wanakuja JF bila hoja za maana za kutetea chama chenu ndo maana wapotuhumiwa wadhani wametukanwa, kumbe wanaambiwa ukweli.
 
Back
Top Bottom