Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

Hata kama mjinga kiwango chake cha ujinga si kama kinavyoonyeshwa na baadhi ya great thinkers hapa! Ngoja uone watakavyomporomoshea matusi hapa. Lakini kufanikiwa kuwaleta hawa watu pamoja, msg iliyofikishwa kwa watanzania kupitia tamasha hili na michezo mbalimbali, hakika siamini kama ni mjinga kiasi hicho

Well, this is misguided thinking. Go back to the drawing board and re-design your thinking. Fanya pushups za akili zako uwe na misuli ya kujenga hoja ambazoni "water-tight". Na sisi tutakubaliana na wewe. Sasa kwa ***** uliyooandika watu wasitukane? Andika hoja zenye mashiko,elimisha,fafanua na kurutubisha akili za wanaJF.Goodluck with the pushups!
 
kulipwa milioni 7 ni hoja ya msingi? Hawa madaktari kwa ndiyo wanaotuibia madawa hospitalini. Hao ni wazushi tu wanaota ndoto ya kufanikiwa bila juhudi.

endeleeni kudanganywa na serikali yenu kuwa huduma bure na mnapata dawa na kila kitu usilolijua ni usiku wa kiza..kwa taarifa yako ktk hospital ya serikali hamna dawa ya kuiba ht moja hilo kopo la panadol wanalowadanganyishia kuwa hospital zina dawa halizid 5000 na lina vidonge 1000...serikali yako inadaiwa na MSD sh bilion 40 unategemea hosptli itapata dawa huku msd yenyew haina hela coz serikali dhaifu imekopaaa weee !?..huku rais wenu dhaif anawekewa bajet ya chai sh bil 15 si hizo hela zingeenda kulipa deni msd nayo ijikongoje inunue dawa na vifaa..AMA KWELI WATANZANIA TUMELOGWA...kazi kucheka cheka tuuu...viva doctors
 
Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.

kwa kifupi hujui nn maana ya ujinga...post zngene hata ungemuuliza mwanao wa miaka 4 kama unaye asinge kuruhusu uiweke hapa
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/171218-mtanange-wabunge-wa-ccm-uso-kwa-uso-na-wabunge-wa-upinzani-2.html#post4179886
Kama ile shughuli aliihandisi nape tambua kuwa ali-copy na ku-paste aka-edit kidooogo!!!! fuata hiyo linki urudi na new perspective.
Iwapo mtoto wa Mnauye aliweza kucopy na kupaste kisha akaedit na mambo yakafana vile basi ana akili sana. Waswahili husema " Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni". Hivi wewe chuki zako binafsi zitakupeleka wapi? Haya tueleze wewe mwenye akili saaaana umefanya nini kuboresha maisha yako binafsi? Chuki zitakupalia buuure!
 
kwakuwa akili yako imeishia hapo sitakujibu sana lakini mchezo ule umethibitisha kuwa.......SIASA SI UGOMVI

Mwambie! Pia inatufundisha kuwa wapinzani wanaweza kukaa meza moja wakapanga jambo la maendeleo ya nchi likafanikiwa na si kulumbana bila tija. Big up wabunge. Jinsi mlivyokuwa mkipasiana mpira towards one goal fanyeni hivyo hivyo bungeni. Toeni hoja zenye mwelekeo wa kujenga na huku mkipasiana mawazo yenye changamoto za kuboresha maisha ya Watanzania na sio kupigana vijembe vyenye kuonyesha ubinafsi.
 
TAHADHARI: Nimeshangaa kusikia akina Zitto (CHADEMA) nao walishirki bonanza la Nape la Simba na Yanga. Japo kwa haraka haraka inaweza kuonekana kuna "NIA NJEMA" lakini wawe makini kushiriki kwenye masuala kama haya yanayohusisha kuwagawa wananchi kimtazamo. Why, kuwe na mechi ya wabunge wa Simba Vs wa Yanga?

CHADEMA ni chama cha Umma (wananchi wote - Simba wote na Yanga wote).Hivi ikitokea kwa mfano tumefungwa bao na Mbunge wa CHADEMA unadhani hisia zitakuwaje? Tayari magamba wameshapata hoja.

Japo inadaiwa huo ndio ukomavu wa kisiasa kushirikiana na wapinzani wako katika masuala yasiyokuwa ya kisiasa, lakini hili la mechi ya Simba na Yanga sio miongoni mwa masuala yanayofaa kwa ushirikiano wa aina hiyo. Simba na Yanga ni miongoni mwa masuala very SENSITIVE nchini yasiyopaswa kufanyiwa mizaha.

Tujiepushe kwa kila namna na hila zozote za magamba. Kuna siku itaandaliwa mechi kati ya Waislamu na Wakristo kwa mtazamo huo huo wa "NIA NJEMA" halafu utaona magamba watakavyopanga timu yao ndio utashangaa. Tutilie shaka kila aina ya "NIA NJEMA" ya magamba.
Ama kweli wewe ni dudu mchochezi. Umejaa mawazo ya uchonganishi! Hupendi kuona watu wanashirikiana kwa amani, unapenda vita tu! Sasa wamecheza basi, kama una mtazamo wako wa chuki binafsi kaa nao na utakumaliza mwenyewe!
 
Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.
umetumwa na Nape kuja kumsafisha...tunafahamu wewe ni kuhadi wa Nape,njaa hiyo.
 
DUH!!!!!!
baada ya mshangao nakukumbusha utaujua upumbavu siku ukipatwa na fistula achilia mbali mumeo kupindwa ngiri!!!!

Eh Eh, YAMEKUWA AYO TENA, AAH NGOJA NINUNUE UTUMBO WA KUKU NIKUMALIZIE NA NDIZI KIPOLO CHANGU CHA JANA
 
Mzalendo mkuu, nikfanikiwa kukujua ukija clinic ninayofanyia kazi lazima nikuchome sindano upate utapia mlo, labda nisikufahamu hivi hivi, ata haujui tofauti ya kazi yao Dr na pharmacist, Dr ndio anatunzaga dawa mpaka azifisadi? Hacha kutoa tuuma kwa kufuraisha forum hapa.
 
Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.

Vipimo vya watanzania vinatisha.
 
Hata kama mjinga kiwango chake cha ujinga si kama kinavyoonyeshwa na baadhi ya great thinkers hapa! Ngoja uone watakavyomporomoshea matusi hapa. Lakini kufanikiwa kuwaleta hawa watu pamoja, msg iliyofikishwa kwa watanzania kupitia tamasha hili na michezo mbalimbali, hakika siamini kama ni mjinga kiasi hicho
Kwani hawa wabunge huwa ni maadui?, mbona bungeni huwa wanakutana katika kamati mbalimbali za bunge? Cha ajabu hapo nini?
 
lakini mchezo ule umethibitisha kuwa.......SIASA SI UGOMVI
siasa ni usanii wa jinsi ya kuamua, nini cha kupata, vipi upate, na lini upate. Katika siasa hakuna uhasama wa kudumu, ila kuna maslahi Ya kudumu; na mara nyingi bahati ya mtu huchukua nafasi. Soccer is something else, licha ya uhasama mkubwa uliopo kati ya Iran na Marekani, timu zao Za Taifa zilikutana katiamechi ya kombe la dunia '94 kule Marekani, na mechi ile ilikwisha kwa Iran kushinda 2-1 na baada ya filimbi ya mwisho wachezaji wa pande zote mbili walikumbatiana na kubadilishana jezi. Huo ndio uzuri wa soka.
 
Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.

602563_201821743277959_154980652_n.jpg

Still if Nyerere was around everyone would have been gifted with kibano; They Play Soccer while the Doctors are in

a boycott; some of our beloved leaders have Money in Swiss Bank and they still call themselves SOCIALISTS

Working for Poor People;
 
​kwa hiyo wewe ndiye zuzu no 1
Hata kama mjinga kiwango chake cha ujinga si kama kinavyoonyeshwa na baadhi ya great thinkers hapa! Ngoja uone watakavyomporomoshea matusi hapa. Lakini kufanikiwa kuwaleta hawa watu pamoja, msg iliyofikishwa kwa watanzania kupitia tamasha hili na michezo mbalimbali, hakika siamini kama ni mjinga kiasi hicho
 
Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.

wewe ni mjinga zaidi yake kwa kushabikia mambo yasiyokua na tija!
 
Iwapo mtoto wa Mnauye aliweza kucopy na kupaste kisha akaedit na mambo yakafana vile basi ana akili sana. Waswahili husema " Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni". Hivi wewe chuki zako binafsi zitakupeleka wapi? Haya tueleze wewe mwenye akili saaaana umefanya nini kuboresha maisha yako binafsi? Chuki zitakupalia buuure!

Ni kwamba kazi za watu hazithaminiwi, hiyo kazi niliyokuelekeza ukaisome ungeonyesha kwanza kuisoma, kuielewa na kama si kuikubali, kisha uone muda ilipoasisiwa, na hii iliyokopiwa, Ulinganishe ubora na utagundua nani kichwa, sishangai unawafagilia wanaofagiliwa huku wakitufelisha kila kukicha kwa ubovu wa bongo zao!!!!! Hakuna vichwa ccm, kuna mafisadi tuuuu
 
sasa hapo ccm kaitangazaje huyu anapenda sifa tu si mwanaccm hata kidogo hajui alifanyalo aende arusha akafungue matawi yaliyofungwa tutamuona mwanamme kwa hili bado ni kigoli wa siasa hata ungo hajavunjaQUOTE=Freemanson;4197949]Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom