Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

HayaJamani wan JF mambo yanakuwa hivi? maneno makali, je ungekuwa wewe mbunge ungecheza, ungegoma, ungepinga au ungekuwa wapi wakati mechi inaanza na ulikuwa umepangwa baki namba 5
 
kaole nina mashaka na una matope kwenye ubongo wako na Freemason wewe unavyoojiita kichaa na umetuambia umedhibitishwa na madactari kama id yako tena inajitosheleza sisi hatuongei na &£€* full stop kama ujinga na ujanja wa mtu unapimwa hivyo wewe kwishney
 
Last edited by a moderator:
Halafu mbona huyu yuko kama mzee. Mi nilikua najua ni kijana. Au sio kijana? Yaani uso na hicho kipara! Nilimuona laivu nikadhani na yeye kalishwa sumu kawa mzee. Hem nisaidieni
Kweli kabisa ni Mzee kuliko Dr.Slaa
 

Attachments

  • best.jpg
    best.jpg
    25.4 KB · Views: 31
kulipwa milioni 7 ni hoja ya msingi? Hawa madaktari kwa ndiyo wanaotuibia madawa hospitalini. Hao ni wazushi tu wanaota ndoto ya kufanikiwa bila juhudi.

Za kuambiwa Changanya na zako mkuu. Ile hotuba ilitolewa vile strategically ili madaktari waonekane wakorofi kwa wananchi. Kama ni kweli why hawataki kuweka wazi waliyokubaliana na madaktari? (the signed documents).
 
Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.

Mkuu username yako imenishtua!
 
Tangu tupate maraisi hatujawahi kuwa na rais mnafiki, mzembe,dhaifu na ndumila kuwili kama kikwete uendeshaji serikali yake umejaa fitina dhihaka na upuuzi mwingi anyemshabikia huyu naomba aweke haya maelezo kwa kuprint au kucopy na baa ya 2015 mtaona kwa nini tz imefika hapa ilipo ni sababu ya huyu mr dhaifu hakuna alichowahi kuongoza kikafanikiwa zaidi ya kutengeneza makundi ndani ya chama na nchini ili awe madarakani kirahisi mungu ibariki tanzania kwa haraka sana tuondokane na huyu mnafiki

a wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.[/QUOTE]
 
Nani alikudanganya kuwa wanasiasa wenye itikadi tofauti huwa ni maadui wanapo kuwa nje ya siasa?
 
sasa hapo ccm kaitangazaje huyu anapenda sifa tu si mwanaccm hata kidogo hajui alifanyalo aende arusha akafungue matawi yaliyofungwa tutamuona mwanamme kwa hili bado ni kigoli wa siasa hata ungo hajavunjaQUOTE=Freemanson;4197949]Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.
[/QUOTE]

kama una ubavu klick hapa uone ujinga wa nape
 
Ujinga una ngazi tofauti. Nafikiri Nape si mjinga bali anakosa upeo wa kufikiri, kuijua dunia na mambo mbalimbali na kuchukua hatua dhabiti. Nafikiri ndo maana watu wa Usalama wa Taifa wanadai fedha walizotumia kumsomesha Nape ni kama vile walizipoteza.
 
kaka unaonekana hujausoma uzi niliyokupa link.
Naijua hofu ya magamba kama wazo langu lingefanyiwa kazi. Ingekuwa another M4C, wana-neutralize hisia za uungwaji mkono wa mgomo wa madaktari.
WANANCHI TWASEMA TUNAWAUNGA MKONO MADAKTARI.
Mkuu, please never generalise sensitive issues like that of doctors' strike. UNAWAUNGA MKONO PEKE YAKO, UGUA UONE NDO UTAIJUA ADHA YA HUO MGOMO
 
Kwa hiyo kwa kuandaa hiyo mechi imedhihirisha yeye sio mjinga?

Ndio namna watanzania wanapima mambo hivyo. Utaelewa kiwango cha ufikiri! Kama angeandaa Fiesta si angesema awe

raisi kabisa maana ana 'akili'?
 
Mkuu, please never generalise sensitive issues like that of doctors' strike. UNAWAUNGA MKONO PEKE YAKO, UGUA UONE NDO UTAIJUA ADHA YA HUO MGOMO

hujaelewa bandiko langu ewe omushaija, nimemaanisha mechi iliyoratibiwa eti na nape ilikuwa na lengo la kututoa kwenye tafakari juu ya adha ya kukosa huduma za afya, inaonekana unanishitakia kwa mungu kanakwamba niugue ili nionje ladha ya mgomo, nakwambia sasa ujue ya kwamba "MUNGU AKIKUPA KILEMA ANAKUPA NA MWENDOWE"
usiwaabudu wanaadam kwa kumuogopa mungu!
Nawaunga mkono madaktari, najua hawana uwezo hata wakizuie kifo kunitwaa, si kama nitakavyo mimi bali mapenzi yake MUNGU BABA yatimizwe.
gonga hapa
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom