Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

Kwani Dodoma hakuna uwanja hadi waende uwanja wa Taifa,kama si matumizi mabaya ya waziwazi ya KODI zetu.NAULI,CHAKULA NA STAREHE zingine walizozifanya si wametumia fedha yetu acha kushabikia upuuzi mtoa mada
Waliweza kupunguza vitambi vyao palepale Dom

Wewe mbona sikusomi. Ume-quote maandishi yangu halafu unachoandika hakihusiani na nilichoandika. Mwee...hang over ya nini mkuu hiyo, matap tap?
 
Acha kushabikia ulemavu wa akili" madaktari wana hoja ya msingi. Upeo wako chini i
 
TAHADHARI: Nimeshangaa kusikia akina Zitto (CHADEMA) nao walishirki bonanza la Nape la Simba na Yanga. Japo kwa haraka haraka inaweza kuonekana kuna "NIA NJEMA" lakini wawe makini kushiriki kwenye masuala kama haya yanayohusisha kuwagawa wananchi kimtazamo. Why, kuwe na mechi ya wabunge wa Simba Vs wa Yanga?

CHADEMA ni chama cha Umma (wananchi wote - Simba wote na Yanga wote).Hivi ikitokea kwa mfano tumefungwa bao na Mbunge wa CHADEMA unadhani hisia zitakuwaje? Tayari magamba wameshapata hoja.

Japo inadaiwa huo ndio ukomavu wa kisiasa kushirikiana na wapinzani wako katika masuala yasiyokuwa ya kisiasa, lakini hili la mechi ya Simba na Yanga sio miongoni mwa masuala yanayofaa kwa ushirikiano wa aina hiyo. Simba na Yanga ni miongoni mwa masuala very SENSITIVE nchini yasiyopaswa kufanyiwa mizaha.

Tujiepushe kwa kila namna na hila zozote za magamba. Kuna siku itaandaliwa mechi kati ya Waislamu na Wakristo kwa mtazamo huo huo wa "NIA NJEMA" halafu utaona magamba watakavyopanga timu yao ndio utashangaa. Tutilie shaka kila aina ya "NIA NJEMA" ya magamba.
 
Acha kushabikia ulemavu wa akili" madaktari wana hoja ya msingi. Upeo wako chini i
kulipwa milioni 7 ni hoja ya msingi? Hawa madaktari kwa ndiyo wanaotuibia madawa hospitalini. Hao ni wazushi tu wanaota ndoto ya kufanikiwa bila juhudi.
 
Watanzania wanakufa kwa njaa, hospitali hazina vifaa wala wataalamu, wanavyuo wanakosa mikopo na matatizo mengine mengi yeye anatumia kodi za walala hoi kuandaa matamasha ya michezoHayawani ni hayawani tu. tena hata wewe uloleta huu uzi na mashaka nawewe au umetumwa na magamba
 
hajaandaa yy acha uongo na kumpa sifa asizostahili,kwani hiyo mechi imesaidia kupunguza ugumu wa maisha.
 
Wewe mbona sikusomi. Ume-quote maandishi yangu halafu unachoandika hakihusiani na nilichoandika. Mwee...hang over ya nini mkuu hiyo, matap tap?
Huyu naye anajiita great thinker!!!
Haya bwana tutafika tu!!!!
 
Vitu virahisi rahisi hivi ndoo vinaumhimu gani kwa chama? Mechi si watu wanacheza na kuondoka basi who keeps record
 
Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk, liliandaliwa na CCM chini ya Idara ya Nape. Kwa ushahidi uliopo juu ya ushiriki wa Nape kwenye hili, SIAMINI TENA KAMA NAPE NI MJINGA KIASI HICHO KINACHOSEMWA.

Kuandaa uharo kama huu ndo kuonekana mjanja!?
 
Ama kweli wewe ni great thinker..umeacha kufikiria yote hayo umekuja na hili..pongezi kwako..ila kwa kufikiri tu UJINGA hautoki kwa kuandaa hafla au sherehe..
 
Mliokuwepo si mtuwekee hiyo list ya simba vs yanga nani alidaka na mabao yalikuwa ngapi,ili na sisi wa huku mabatini tujue
 
Milioni 7 mbona chai ikulu bilion 15 . Uko kwenye list ya wanaotafuna nchi kam mchwa. , kauli mbiu ni ka sungura kadogo, tuna raslimali nyingi sana. Mpaka kagame anatushangaa" mimi hii nchi nikipewa nitakuwa dikteta gaddaffi kila mtu mtz atayezaliwa nitampa kipande cha kasungura si watoto wa viongozi tu na propaganda. Migomo na maandamano itakuwa historia. Nchi itaongozwa na nguvu uchumi and then siasa
 
Matatizo ya CCM ni zaidi ya uwezo wa kuandaa mechi ya washabiki wa Yanga na Simba.
 
Back
Top Bottom