Nilichokitafuta nimekipata!!!!!!!!

Yetoo,chunga sana ushauri unaotolewa kwenye jamvi hili,soma waliyoandika kisha changanya na za kwako.
By the way usilolijua ni usiku wa giza,siku nyingine think twice kabla hujagusa simu ya mmeo unless umechoka na ndoa yako na unatafuta mlango wa kutokea.
 
Yetoo,unanikumbusha mkasa ulomkuta my staffmate,yeye alikua ana cheat,mkewe akahisi kuwa anacheat,akaanza kumchunguza mumewe,akaicheki simu akagundua kuna mtu anamzingua mumewe,yule dada siku ya siku akatafuta laini mpya,mumewe alienda kuangalia mpira usiku,game za UEFA,huyu bi mdada aliamua kumpigia simu yule bint and then akamuunganisha na mumewe kisha akaweka loud speaker na kuanza kurekod yale mazungumzo yao wale watu wawili,Mume hakupata shida kuing'amua saut ya kimada wake,so wakaongea kama dr 15,mpira ulipoisha jamaa akarudi home,
WYF:UNAJUA UNADEALA NA MTU WA AINA GANI???
MUME:UNA MAANISHA NINI???
WYF:FAT-HIYA NDO NANI????(KIMADA WA JAMAA)
MUME AKAWAPO MPOLE ILA ALIMUOMBA MSAMAHA YAKAISHA,
 
Ukome, ukimchunguza bata utamla wewe. mambo mengine siyo ya kuumizia vichwa. Wewe chezea upande wako tu.
 
hii dhana imepitwa na wakatikabisa jiulize hivi mama amefriki akijifungua mtoto akabaki salama au mzazi mmja amefariki au hamjui baba je maisha hayataendelea?ameoa mke mwingine umebaki na watoto amekunyanyasa umekimbia na wanao eithe of them sometiome s naamini kuwa maisha yanapangwa na mungu pekee wazazi niwakutulea kimwili zaidi ila roho zetu mungu anamiliki sionagi sababu yakung'anganiza eti watoto kulelewa na wazazi wote wawili ni muhimu si sahihi kuna kesi nyingi zinaamuliwa humu na GTHINKERS wanakuwa wanamshauri beba watoto ondoka unafikiri hawajui umuhimi wa 2 parents sometimes sounds nothing ,je libaba/ liko tu pale haliwatunzi mnamuona mama yenu anavyoteseka na nyie bado mnataka tu kumuona wa faida gani? Kifulambute


Amsterdam uko sawa kabisa lakini kumbuka the quit decision has to be the last if and only if no changes expected from the victim. ikumbukwe kuwa hayo aneno aliyo andika mumewake kwa secretary kuwa mke wake si mtamu kama secretary si kweli ni defensive mechanism na uroho tu ili apate penzi la secretary, sasa cha msingi ni yeye Yetooo na mume wake wakae waongee wakiwa wao kama wao ni wangapi wanafumaniana tena kitandani lakini wanakaa na kuyazungumza na wanaishi kwa raha mstarehe wakiwa wote?
 
Duniani kuna kazi sana..
OOOPS nashangaa huyo Secretary utamu wake nini mumeo muongo anamtumia tu secretary bila kujitambua

Ina maana atakaa na secretary milele kwa vile ni mtamu?
Na huyo Mwanamke anayetumiwa na mme wa mtu nadhana hana mpango wowote na future yake
Pole mwaya nimechoka na hii post yako
 
yaani just because wana watoto ndio mtu akae kwenye ndoa ya mateso au kutokua na raha aah wapi...mtoto or no mtoto ajiondokee zake...atakapopewa ukimwi akafa ndio wenziwe watahamia hapo nyumbani kwake kabisa

Subiri usikie atasema nini, ila hapo mapenzi ndo mwisho, hakupendi huyo. wanaume wengi hawapendi kuzungumza habari za wake zao wala udhaifu wao na gfriend.
Hata akiomba msamaha ujue wewe ni second best, anawajibika tu kwa vile we ni mkewe. Jipange kimya kimya wala usifurukute. Tafakari kwanza kabla ya uamuzi. Ukiwa tayari mgeuzie kibao, achana naye hakufai utalea tu mtoto Mungu atakusaidia. HAFAI, HAFAI, NI MUUWAJI huyu.
 
Yetoo,chunga sana ushauri unaotolewa kwenye jamvi hili,soma waliyoandika kisha changanya na za kwako.
By the way usilolijua ni usiku wa giza,siku nyingine think twice kabla hujagusa simu ya mmeo unless umechoka na ndoa yako na unatafuta mlango wa kutokea.
Bishanga naanza kuamini kuwa wewe ni dikteta i was respecting you so much ila leo umeamka vibaya toka kwenye hii post najuta-nimezaa-nje yandoa-ushauriwakomuhimu-sana
 
Madam pole sana kwa yaliyokukuta,kwa jns ulvyojieleza hapa c a very strong woman and ua gong to get out well,binafs nakumbuka kapo cha ndoa pamoja na mambo mengne kinasema ndoa navunjwa na kifo pekee(najua ugumu wa hili ),secondly umetumia mbinu finest kufahamu tatzo so wewe ni mwerevu,naamin katika second chance,do u love ua husband?f yes hutamuacha kwa sababu yeyote,ni mumeo si just mpenzi ,binafs sion option ya kuachana we are all human beings na tuna udhaifu,so we have stay even closer kudeal na matatzo yetu,usbaki na mumeo just bse mna mtto,ndoa najengwa na upendo na si mtto,uma meno dada mwite husband kaen chini muyamalze,cion haja ya kuhusisha pipo wengine,wazaz na kadhalika,upendo huvumlia yote,dada yangu tuikeep ndoa hyo kwa gharama zote!then tumpe nafas alyejuu,tunasubri feedback!( believe ths marriage of yours is going to be even more strong zad ya chochote,tazamen afya zenu na dumu ndoa yako milele shetani ashindwe!)
 
Wakati mwingine huwa nashangaa yaan mtu unaanzisha timbwili halaf likikolea unakuwa mpole..
Ulipoanzisha 'uchunguzi' lengo lilikuwa uwafume..Thank God umewapata..sasa tatizo nini??
Wewe mchunguzaji ndio uamue nini ufanye..unadhani mumeo atasemaje sasa? ilhali ushahidi unao..
Akili za kuambiwa changanya na za kwako!!!
 
always disappoint to find out the person you love does something to hurt you
Ila huwa naamini kumjua adui yako ni moja wapo ya njia ya kumdhoofisha kwani akijua unafahamu kila kitu chake lazima hataweza kukuattack inabidi afikirie tena na tena ingawa inauma kufahamu ukweli tena kuwa wewe si mtamu kama secretary?
 
Amsterdam uko sawa kabisa lakini kumbuka the quit decision has to be the last if and only if no changes expected from the victim. ikumbukwe kuwa hayo aneno aliyo andika mumewake kwa secretary kuwa mke wake si mtamu kama secretary si kweli ni defensive mechanism na uroho tu ili apate penzi la secretary, sasa cha msingi ni yeye Yetooo na mume wake wakae waongee wakiwa wao kama wao ni wangapi wanafumaniana tena kitandani lakini wanakaa na kuyazungumza na wanaishi kwa raha mstarehe wakiwa wote?
haya maneno akiyasikia dada yangu gfsonwin atafurahi sana asante sana,mkuu ni kweli Kifulambute huu mchezo nimeucheza sana na hayo ya sio utamu mbona madogo unaelewa hii unasikia katika tano bora za wanawake niliotarajia kuwaoa hana hata sifa mmja alijilazimisha tu ila jioni akirudi analia wee kifuani wanaume wakiamua kumpata mwanamke yyte atamtukana hata kumkana mamayake mzazi but truthremain his wife is the best huwa wengi tunaogopa tu magonywa nyemelezi
 
Last edited by a moderator:
Pole dada. . angalia tabia zake zingine ndo upime uzito wa hili suala. . kama is a caring husband na a mengine mengi angalia jinsi ya kumuweka sawa maisha yaendeleevmaana yake inategemea na yemwenyewe kama ataomba msamaha au to kukataa whatever but he should do something! akiwa na kiburi kwa hatua hii manake hana respect kwa ndoa yenu! cause wapo wanaume wenye kukosea then wanatengeneza mazingira ya wao kuombwa msamaha to me hawa viumbe wa hivi hawana nafasi kabisa kwa nafsi yangu na hawana nidhamu kwa mwanamke! so this situation inakutegemea sana mwenyewe! is it his first time? is he a responsible father? maneno ya nani mtamu dont bother cause wanafurahishana tu! kama alimaanisha basi we mwenyewe uko kwenye position zaidi ya kujua. .
 
haya maneno akiyasikia dada yangu gfsonwin atafurahi sana asante sana,mkuu ni kweli Kifulambute huu mchezo nimeucheza sana na hayo ya sio utamu mbona madogo unaelewa hii unasikia katika tano bora za wanawake niliotarajia kuwaoa hana hata sifa mmja alijilazimisha tu ila jioni akirudi analia wee kifuani wanaume wakiamua kumpata mwanamke yyte atamtukana hata kumkana mamayake mzazi but truthremain his wife is the best huwa wengi tunaogopa tu magonywa nyemelezi

kabisa Amsterdam maana kama kila kosa likifanya na mme/mke ndoa inavunjika basi hakuna ndoa ingekaa hata moja duniani hapa kila mwanandoa ana madhaifu yake ila cha msingi ni kukaa na kuyarekebisha na kujitahidi sana kwa mkosaji kumrudisha kundini ili muenende katika uelekeo unaofaa...
 
OMG....Kwanza mshukuru mungu umejua ukweli,,,,,

mchimbe biti la maana(sio kushout au kuwa na maneno mengi) na hata kama itatokea ukamsamehe anaweza akaboresha mbinu za kuficha uhuni wake na wala hutogundua tena
 
Pole sana kama hamna watoto jikalie pembeni tu kuepusha msongamano! Kama mnao hamna jinsi hapo ila ndio hvyo tena sio mtamu!! Na wewe tafuta mtamu wako muende sawa!


huu ni ushauri wa kubomoa nawa si wa kujenga kabisa... unadhani mmewe atakaa kimya milele?!! atalimaliza tu na kwa sasa anataka mkewe a-cool arud kwenye ground state atoke kwenye excited state.
 
Pole sana dada, ila msubiri kwanza hasira ziishe kwasababu mwanaume hapo ni sawa na wewe ndo mkosaji. Hasira zitakapoisha ndo Utajua anataka nini au wewe unataka nini. Usikurupuke kuanza kugombana naye . Pia ukiona anakuwa mkali kwako jaribu kushirikisha wazazi au watu wake wa karibu ambao unahisi atawasikiliza. Pia jamani tusiwe tuonaoa wanawake kwa maslahi fulani kama huna upendo naye kutoka moyoni haya huchangia watoto wamitaani kuongeka kutokana na ndoa nyingi kuvunjika pia wanawake hivyo hivyo usiolewe na mtu ambaye huna upendo naye kutoka moyoni bali kwasababu fulani ambapo baadae unakuja kufanya mambo ambayo yatakuyumbisha ktk maisha
 
pole sana mpenzi, maisha ya ndoa yanahitaj sn uvumilivu.Kama ataonesha kujutia kosa lake na kuomba msamahama kwa hisia,basi we msamehe tu then familia yako na ndoa yako ikabidh mikononi mwa mwenyezi Mungu. Najua inauma sana lakin kwa msaada wa Mungu everything will be okey!
 
Juzi usiku nikaamua kubadilisha(edit) no ya huyo secretary wake;nilichofanya nilizifuta nikaweka no.zangu kwenye jina lake na kwenye jina langu nikaweka no.za secretary.Jana asbh nikiwa ofisini nikapata msg ya kwanza kutoka kwa mume wangu akijua anamtext secretary

Ahsante kwa kunipa hiyo 'teknik'...maana 'mamsap' na boss wake siwaelewi elewi!
 
Back
Top Bottom