Nilichokitafuta nimekipata!!!!!!!!

Yan ndo maana nilitoa thread kama hiyo, kumpima mpenz wako au mume au mke wako, utafukunyua usoyatarajia. Pole dear,dah em mlie bati upime upepo wake, ongea na washenga mmuonye! Pole mwaya
 
nakuonea huruma sana,ni maumivu makali sana ulonayo kwa sasa usichukue uamuzi kwa haraka.hawa jamaa ni ugonjwa wa moyo,wengi wao si waaminfu,ndo mana mimi huwa naona,ni bora kutomchunguza mwanaume maana hata ukimgundua na ukasema uachane nae,je utaishi single milele?je uta mata mwingine asiyeiba nje?ni ngumu kwa kweli.
kuhusu mumeo kumsifia huyo secretary kuwa mtamu kuliko wewe,isiku e shida kabisa,kwani kuna mwanaume anamwambia hawara kuwa mkewe ni bora zaidi yake hawara?hakuna,hiyo ni lugha tu ya wanaume wote wala isikutishe!
 
Nimeshawahi kuandika hapa kama mnapendana hakuna haja ya kufutiliana hadi kwenye cm matokeo yake ndo hayo mpango huo hakuna ndoa itayodumu umepata faida gan zaid kuumizwa furaha imetoweka jaman wana jf tusipende kufutilia cm za wapenzi wetu tutaishia kuumizwa kila siku ktk uhusiano.
 
kaa chini familia njema hujengwa na wanafamilia(baba+mama), muonye akijua kuwa umeishafahamu kila kitu.....refresh na uruhusu nafasi ya kuombwa msamaha na kusahau muanze maisha upya....kumbuka kutafuta wako ama kuripiza haitakusaidia kwani ndio unaongeza kuunganishwa na watu wengi zaidi na kumbuka kuwa binadamu wote tu sawa hakuna aliye nafuu wala afadhali wate tu wakosefu, kaa chini na huyo mume wako myazungumze msiruhusu watu kutoka nje kuja kuamua mambo ya ndani ya ndoa yenu kwani hao ndio watakuharibia kabisa....mwambie mume wangu "Tulizana"

Umenena vyema. Ajaribu kumpa nafasi tena ya kujirekebisha na akumbuke kuwa kuvunja ndoa inaweza kuwa si suluhu sana ya tatizo lake maana anaweza kutengeneza tatizo lingine kubwa zaidi.
 
tulia mwanakwetu yawezekana ni utani wa kawaida maofisini
kati ya bosi na tarishi wake
kwa waliosoma kozi hiyo niiambiwa wanafundishwa how to impress your boss
ni maneno kama hayo, kwa hizo msg sidhani kama ni ushahidi tosha anatembea nae.
hata hivo kama ni kweli basi unasaidiwa tu kizuri wanasema kula na nduguyo
so long hajakuletea magonjwa,sema nae kwa upole jibu kamili analo yeye na sio hizo sms.
 
kuna vitu kama kumi unatakiwa ufanye kutokana na kusalitiwa huko!! Moja kubali kua imetokea na hata iwaje haiwezi futika!!jipange uanze upya!!MBILIPima ulovoathilika na mumeo kitendo hicho kimekukosesha imani kwa mumeo na huwezi kumsamehe?TATU jitoe na ona kama mtu kaomba ushauri kwako na ushauri ambao ungempa basi uchukue na ufanyie kazi wewe!!NNE Mpasulie ukweli hata kama hataki kukusemesha na mweleze juu ya namna amekuumiza kwa usaliti wake!!Hata kama utampa nafasi nyingine lazima ajue jinsi alivokuumiza ili iwe changamoto kwake!!TANO!!Chunguza kwa nini kakusaliti usiliache likapita hivihiviunatakiwa kujua sababu ya yeye kukusaliti!!Je kuna ambacho anakikosa kwakoau ni tamma zake tu?Jibu utakalo lipata litakusaidia kwa maisha yako ya mapenzi au ndoani!!nafikilia hizo tani zinakutosha!!!POLE LAKINI HAKUNA ALIEKAMILIKA UKIPENDA BOGA KUBALI KUYABEBELEA NA SIO UPENDE NA UA LAKE!!!
 
pole sana! jaribu kumwambia tena unataka kuongea nae! na uwe tayari kuchukua maamuzi magumu!
 
Dah! pole sana kwa yaliyokukuta. Mie ushauri wangu ni kuwaita wazee wa pande zote mbili wawasaide namna ya kutatua tatizo hili kubwa, nyie wenyewe hamtaweza kulimaliza kabisa na hii ya mume kuamua kukaa kimya ndiyo inakuongezea usongo.

Nilichokitafuta nimekipata,hii imenitokea jana;
Mimi niliolewa miaka mitatu iliyopita,tuliishi kwa furaha na upendo mimi na mume wangu.Mwaka jana nilianza kuhisi mahusiano ya mume wangu na secretary wake si ya kawaida,niliamua kumuuliza mume wangu kwa utaratibu ila alikana na kunitoa wasiwasi kuwa hakuna kitu kama hicho.Tuliendelea ila nilikua bado naona movement zisizoeleweka za mume wangu na secretary wake.
Juzi usiku nikaamua kubadilisha(edit) no ya huyo secretary wake;nilichofanya nilizifuta nikaweka no.zangu kwenye jina lake na kwenye jina langu nikaweka no.za secretary.Jana asbh nikiwa ofisini nikapata msg ya kwanza kutoka kwa mume wangu akijua anamtext secretary na chat ziliendelea kama ifuatavyo;
Mume wangu:Gmorning darling leo nitachelewa kufika ofisini
Secretary (mimi):morng to u hny unapitia wapi?
Mume wangu:Napitia mjini kuna kikao nikiwahi nitakuja kukuchukua twende lunch then............
Secretary (mimi):Siku hizi umenitosa sana au mke wako kakubana?
Mume wangu:Aaaaah wapi yule hawezi kunibana mimi kwani hakufikii kabisa
Secretary(mimi):MMMH hanifikii kwa lipi?
Mume wangu: yeye si mtamu kama wewe,baby you are so sweet,cant wait to hold and .......you hardly.

Nilitetemeka jasho likanitoka nikaomba ruhusa ofisini nikarudi nyumbani,jioni anafika nikamuonyesha zile msg zake hakuongea chochote na mpaka sasa hajibu chochote wala haongei na mimi.

Wanajamii mmekua wa kwanza kuelezewa huu mkasa na sitarajii kumueleza mtu mwingine yeyote.
Nawaomba ushauri nifanyeje???
 
yetoo pole sana mamii kwa mkasa uliokupata. binafsi ninamshukuru sana Mungu kwa kufunlia haya mapema ili ujue utajipangaje kusali ili kurekebisa tabia ya mumeo.

Binafsi sikushauri uondoke ama ugombane na mumeo, ila nakushauri wewe maadam umesmwambia kaa kimya tu hii kimya ni dawa sana manake atajiuliza nini kinachoendelea.Jitahd sana kutimiza wajibu wako kama mama, asikukute na kosa kuanzia kwenye usafi wa nyumba, watoto na hata mapishi. pia ujipende zaid wewe jiweke smart muda wote yaani ukienda kulala, kama ndo unataka utoke vile na ukipika kama ndo uko oficn vile. yaani nyumban jiweke pambo hasa, usiku na mchana. kisha jitahd sana kuwa unajitoa out kupata good times.

ninachoamni mimi mumeo bado anakupenda sana na ni mtu mzuri sana ila tu iyo ilikuwa ni gia ya kupata penzi la huyo sec wake. so wewe mzid sec kwa kila engo huku ukiwa mole sana ashindwe kujua umepata mwingine a ni nini?FYI wanaume wengi ukiwachunia huwa wanaumia sana tena wanajiulizaga naibiwa ama so usione tabu kuendelea na commitment zako za ndni yeye mwache kwassababu anajua umesha mshika live. pia usiache kumwombea kwani maombi ndio silaha ya kumrudisha mumeo na kumlinda dhidi ya makahaba ma dia.

kama unaukmbuka ushuhuda wangu hapa, ni sala tu na ukimya ulimfanya hubby akamtimua kimada wake mbele ya macho yangu na sikuwa mnafiki aisee nilitimiza wajibu wangu kwa dhati na hata ingetokea mgeni kaja asingeweza kugundua kama kunatatizo genuine. iyo ilikuwa ni silaha sana kwangu na mwisho wa siku nilishinda.
 
Last edited by a moderator:
mh pole,na kweli umekipata.
hat hivyo jipe moyo kuwa we ni makree ndio manna ni nyumba kubwa
 
mh pole,na kweli umekipata!.
hata hivyo jipe moyo kuwa we ni mkaree ndio maana ni nyumba kubwa
 
pole sana, ila nawaomba akina dada acheni kazi za upelelezi kwa waume wenu nanyi akina kaka vilevile.mwisho wa siku mtakuja kufa kwa presha.

all men cheat, kwa mtu unajihangaisha kukagua msg sijui kaenda wapi na nani......
 
Ushauri mzuri huu hapa hata mimi nakili ukimya na kutoeleweka +usafi unatuua wanamme wengi haswa baada ya tukio la kugundulika madudu yetu tunayofanya.
yetoo pole sana mamii kwa mkasa uliokupata. binafsi ninamshukuru sana Mungu kwa kufunlia haya mapema ili ujue utajipangaje kusali ili kurekebisa tabia ya mumeo.

Binafsi sikushauri uondoke ama ugombane na mumeo, ila nakushauri wewe maadam umesmwambia kaa kimya tu hii kimya ni dawa sana manake atajiuliza nini kinachoendelea.Jitahd sana kutimiza wajibu wako kama mama, asikukute na kosa kuanzia kwenye usafi wa nyumba, watoto na hata mapishi. pia ujipende zaid wewe jiweke smart muda wote yaani ukienda kulala, kama ndo unataka utoke vile na ukipika kama ndo uko oficn vile. yaani nyumban jiweke pambo hasa, usiku na mchana. kisha jitahd sana kuwa unajitoa out kupata good times.

ninachoamni mimi mumeo bado anakupenda sana na ni mtu mzuri sana ila tu iyo ilikuwa ni gia ya kupata penzi la huyo sec wake. so wewe mzid sec kwa kila engo huku ukiwa mole sana ashindwe kujua umepata mwingine a ni nini?FYI wanaume wengi ukiwachunia huwa wanaumia sana tena wanajiulizaga naibiwa ama so usione tabu kuendelea na commitment zako za ndni yeye mwache kwassababu anajua umesha mshika live. pia usiache kumwombea kwani maombi ndio silaha ya kumrudisha mumeo na kumlinda dhidi ya makahaba ma dia.

kama unaukmbuka ushuhuda wangu hapa, ni sala tu na ukimya ulimfanya hubby akamtimua kimada wake mbele ya macho yangu na sikuwa mnafiki aisee nilitimiza wajibu wangu kwa dhati na hata ingetokea mgeni kaja asingeweza kugundua kama kunatatizo genuine. iyo ilikuwa ni silaha sana kwangu na mwisho wa siku nilishinda.
 
Last edited by a moderator:
Sijui Africa tumelogwa na nani we jaribu kupima hii inshu kaifanya mwanamke dhidi ya mme wake uone! Ukichunguza wachangiaji karibia wote wanasisitiza mtoa maada amsamehe mtuhumiwa ila ingekuwa ni mwanamke ndo katenda huu ***** alafu mwanaume kaleta hiyo maada ungesikia comments nzito nzito zikimtaka mwanaume kumtimua mwanamke.KI UKWELI WANAUME IFIKE POINT TUACHANE NA MAISHA YA KI GORILLA NA TUJARIBU KUWASAIDIA WAKE ZETU KWA KUWA WAAMINIFU ILI TUJENGE FAMILIA ZETU KIMAENDELEO PIA TUSITAKE KUTUMIA NDOA ZETU KAMA ULINGO WA KUWATESA WANAWAKE.TUMEKUWA TUKILALAMIKIWA KILA KONA KUWA SISI NI SOSI OF OL EVILS KWENYE FAMILIA.
 
Piga chini,ungese huo kuvumilia ujinga.....tena nwdays kuna magonjwa....kisa cha kufa mapema....eti ndoa..we!!!Mungu hakuweka ndoa ituue.....
 
yetoo pole sana mamii kwa mkasa uliokupata. binafsi ninamshukuru sana Mungu kwa kufunlia haya mapema ili ujue utajipangaje kusali ili kurekebisa tabia ya mumeo.

Binafsi sikushauri uondoke ama ugombane na mumeo, ila nakushauri wewe maadam umesmwambia kaa kimya tu hii kimya ni dawa sana manake atajiuliza nini kinachoendelea.Jitahd sana kutimiza wajibu wako kama mama, asikukute na kosa kuanzia kwenye usafi wa nyumba, watoto na hata mapishi. pia ujipende zaid wewe jiweke smart muda wote yaani ukienda kulala, kama ndo unataka utoke vile na ukipika kama ndo uko oficn vile. yaani nyumban jiweke pambo hasa, usiku na mchana. kisha jitahd sana kuwa unajitoa out kupata good times.

ninachoamni mimi mumeo bado anakupenda sana na ni mtu mzuri sana ila tu iyo ilikuwa ni gia ya kupata penzi la huyo sec wake. so wewe mzid sec kwa kila engo huku ukiwa mole sana ashindwe kujua umepata mwingine a ni nini?FYI wanaume wengi ukiwachunia huwa wanaumia sana tena wanajiulizaga naibiwa ama so usione tabu kuendelea na commitment zako za ndni yeye mwache kwassababu anajua umesha mshika live. pia usiache kumwombea kwani maombi ndio silaha ya kumrudisha mumeo na kumlinda dhidi ya makahaba ma dia.

kama unaukmbuka ushuhuda wangu hapa, ni sala tu na ukimya ulimfanya hubby akamtimua kimada wake mbele ya macho yangu na sikuwa mnafiki aisee nilitimiza wajibu wangu kwa dhati na hata ingetokea mgeni kaja asingeweza kugundua kama kunatatizo genuine. iyo ilikuwa ni silaha sana kwangu na mwisho wa siku nilishinda.

now nimeelewa kwanini wanakwita kungwi, i like ur posts girl!napenda mtu azungumze reality since watu wengi huwa tunahisi ndoa ni smoooth tambarare tu,hatukubali kuyaface matatizo in a very positive way!u made my DAY mummiee!MUNGU AKUBARIKI SANA sissy.
 
kuna member humu anaitwa Ngongoseke alisema ktk thread yake ipo kama yako,kuwa kama unampenda mpenzi wako usifanye hako kamchezo kakubadili number!kweli nimeamini Ngongoseke alikuwa ana busara!tuko ktk nyakati ngumu kabisa ktk mahusiano ya kindoa!uaminifu unaanza kuwa msamiati unaosahaulika!Baba wa mbinguni uokoe ulimwengu!dah
 
Hongera sana kwani juhudi zako zimezaa matunda.
Ulitakiwa kujua utafanyaje ukiujua ukweli.
Maana ungeniuliza mie kuhusu kumchokoa mumeo,wala nisingekushauri.
 
mimi kwa uzoefu wangu, naona wanaume wengi si waaminifu kwenye ndoa. nataka kukuthibitishia kuwa hayo maneno kuwa sec ni mtamu kuliko wewe si kweli, ni lugha wanaume wanatumia kudanganya wanawake wa nje, ila ukweli ni kuwa mumeo anakupenda, na ndio maana amekuoa wewe. sema tu anazini na huyo sec, msamehe, na umuombee kwa Mungu aache uzinzi, do not even feel bad, the husband loves you!
 
Back
Top Bottom