Nilichokitafuta nimekipata!!!!!!!!

YETOOO

Member
Nov 25, 2011
83
37
Nilichokitafuta nimekipata,hii imenitokea jana;
Mimi niliolewa miaka mitatu iliyopita,tuliishi kwa furaha na upendo mimi na mume wangu.Mwaka jana nilianza kuhisi mahusiano ya mume wangu na secretary wake si ya kawaida,niliamua kumuuliza mume wangu kwa utaratibu ila alikana na kunitoa wasiwasi kuwa hakuna kitu kama hicho.Tuliendelea ila nilikua bado naona movement zisizoeleweka za mume wangu na secretary wake.
Juzi usiku nikaamua kubadilisha(edit) no ya huyo secretary wake;nilichofanya nilizifuta nikaweka no.zangu kwenye jina lake na kwenye jina langu nikaweka no.za secretary.Jana asbh nikiwa ofisini nikapata msg ya kwanza kutoka kwa mume wangu akijua anamtext secretary na chat ziliendelea kama ifuatavyo;
Mume wangu:Gmorning darling leo nitachelewa kufika ofisini
Secretary (mimi):morng to u hny unapitia wapi?
Mume wangu:Napitia mjini kuna kikao nikiwahi nitakuja kukuchukua twende lunch then............
Secretary (mimi):Siku hizi umenitosa sana au mke wako kakubana?
Mume wangu:Aaaaah wapi yule hawezi kunibana mimi kwani hakufikii kabisa
Secretary(mimi):MMMH hanifikii kwa lipi?
Mume wangu: yeye si mtamu kama wewe,baby you are so sweet,cant wait to hold and .......you hardly.

Nilitetemeka jasho likanitoka nikaomba ruhusa ofisini nikarudi nyumbani,jioni anafika nikamuonyesha zile msg zake hakuongea chochote na mpaka sasa hajibu chochote wala haongei na mimi.

Wanajamii mmekua wa kwanza kuelezewa huu mkasa na sitarajii kumueleza mtu mwingine yeyote.
Nawaomba ushauri nifanyeje???
 
Pole sana kama hamna watoto jikalie pembeni tu kuepusha msongamano! Kama mnao hamna jinsi hapo ila ndio hvyo tena sio mtamu!! Na wewe tafuta mtamu wako muende sawa!
 
Hana ujanja,kama atakiri na kuomba msamaha, basi msamehe,ila mtihani bado upo maana bado wako ofisi moja na huyo secretary.
 
kaa chini familia njema hujengwa na wanafamilia(baba+mama), muonye akijua kuwa umeishafahamu kila kitu.....refresh na uruhusu nafasi ya kuombwa msamaha na kusahau muanze maisha upya....kumbuka kutafuta wako ama kuripiza haitakusaidia kwani ndio unaongeza kuunganishwa na watu wengi zaidi na kumbuka kuwa binadamu wote tu sawa hakuna aliye nafuu wala afadhali wate tu wakosefu, kaa chini na huyo mume wako myazungumze msiruhusu watu kutoka nje kuja kuamua mambo ya ndani ya ndoa yenu kwani hao ndio watakuharibia kabisa....mwambie mume wangu "Tulizana"
 
Pole sana Ila kwakuwa yuko kimya na hasemi chochote jua there is something running in his mind so nakushauri na wewe uwe SILENT as you are planning something (but not) then utajua nini kitakachoendelea ila usiendelee kuchokoza coz hujui anapanga au kufikiria nini. Njia ya kushinda uovu.....
 
KK III tuna mtoto mmoja,kwani siwezi kuepusha msongmano hata kama tuna mtoto?

Pole sana kama hamna watoto jikalie pembeni tu kuepusha msongamano! Kama mnao hamna jinsi hapo ila ndio hvyo tena sio mtamu!! Na wewe tafuta mtamu wako muende sawa!
 
pole sana maumivu ni makali sana.jaribuni kukuaa na kuzungumza labda atajirekebisha.lkn sidhani hapo atatafuta njia nyingine tu kunuacha si rahic.kama unaweza kusimama mwenyewe jipange tu
 
Pole sana dada haya yote hutokea duniani
Most of times sipendi kufahamu uongo ninaofanyiwa kwani it hurts alot
Hata wewe najua lazima hiyo kitu itakuumiza sana kwani mmeo amekuambia kuwa secretary ni mtamu kuliko wewe na hata ww humfikii huyo secretary.
Kunguza kuna raha ila nadhani umepata ulichotafuta
 
hahahahaaaaa

jino kwa jino lol

mi nlishawaambia wadada ukitaka kufatilia sim ya mumeo hakikisha una kifua na huna magonjwa ya moyo lol.....
Pole sana kama hamna watoto jikalie pembeni tu kuepusha msongamano! Kama mnao hamna jinsi hapo ila ndio hvyo tena sio mtamu!! Na wewe tafuta mtamu wako muende sawa!

Nashukuru sana kwa ushauri mzuri,be blessed.
Na kweli tulizana mume wangu..tuko wangaaapiii????

kaa chini familia njema hujengwa na wanafamilia(baba+mama), muonye akijua kuwa umeishafahamu kila kitu.....refresh na uruhusu nafasi ya kuombwa msamaha na kusahau muanze maisha upya....kumbuka kutafuta wako ama kuripiza haitakusaidia kwani ndio unaongeza kuunganishwa na watu wengi zaidi na kumbuka kuwa binadamu wote tu sawa hakuna aliye nafuu wala afadhali wate tu wakosefu, kaa chini na huyo mume wako myazungumze msiruhusu watu kutoka nje kuja kuamua mambo ya ndani ya ndoa yenu kwani hao ndio watakuharibia kabisa....mwambie mume wangu "Tulizana"
 
Pole sana kama hamna watoto jikalie pembeni tu kuepusha msongamano! Kama mnao hamna jinsi hapo ila ndio hvyo tena sio mtamu!! Na wewe tafuta mtamu wako muende sawa!

yaani just because wana watoto ndio mtu akae kwenye ndoa ya mateso au kutokua na raha aah wapi...mtoto or no mtoto ajiondokee zake...atakapopewa ukimwi akafa ndio wenziwe watahamia hapo nyumbani kwake kabisa
 
Nilichokitafuta nimekipata,hii imenitokea jana;
Mimi niliolewa miaka mitatu iliyopita,tuliishi kwa furaha na upendo mimi na mume wangu.Mwaka jana nilianza kuhisi mahusiano ya mume wangu na secretary wake si ya kawaida,niliamua kumuuliza mume wangu kwa utaratibu ila alikana na kunitoa wasiwasi kuwa hakuna kitu kama hicho.Tuliendelea ila nilikua bado naona movement zisizoeleweka za mume wangu na secretary wake.
Juzi usiku nikaamua kubadilisha(edit) no ya huyo secretary wake;nilichofanya nilizifuta nikaweka no.zangu kwenye jina lake na kwenye jina langu nikaweka no.za secretary.Jana asbh nikiwa ofisini nikapata msg ya kwanza kutoka kwa mume wangu akijua anamtext secretary na chat ziliendelea kama ifuatavyo;
Mume wangu:Gmorning darling leo nitachelewa kufika ofisini
Secretary (mimi):morng to u hny unapitia wapi?
Mume wangu:Napitia mjini kuna kikao nikiwahi nitakuja kukuchukua twende lunch then............
Secretary (mimi):Siku hizi umenitosa sana au mke wako kakubana?
Mume wangu:Aaaaah wapi yule hawezi kunibana mimi kwani hakufikii kabisa
Secretary(mimi):MMMH hanifikii kwa lipi?
Mume wangu: yeye si mtamu kama wewe,baby you are so sweet,cant wait to hold and .......you hardly.

Nilitetemeka jasho likanitoka nikaomba ruhusa ofisini nikarudi nyumbani,jioni anafika nikamuonyesha zile msg zake hakuongea chochote na mpaka sasa hajibu chochote wala haongei na mimi.

Wanajamii mmekua wa kwanza kuelezewa huu mkasa na sitarajii kumueleza mtu mwingine yeyote.
Nawaomba ushauri nifanyeje???

natamani kulia mimi!ngoja nitarudi bdae am speechless
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?????!!!!!?pole mpenzi sipati picha ya jinsi unavyojisikia kwa kweli mana inauma sana.....
 
Pole sana liwa tayari kuliongelea mruhusu mazungumzo yake yatakupa maamuzi.dah inauma
 
pole sana, jaribu kushirikisha wazazi wa pande zote ktk hilo.
wanaweza kutoa msaada.
 
watoto ni wa wote kuweza unaweza lakini kumbuka watoto wanawahitaji wazazi wote na sio mmoja
hii dhana imepitwa na wakatikabisa jiulize hivi mama amefriki akijifungua mtoto akabaki salama au mzazi mmja amefariki au hamjui baba je maisha hayataendelea?ameoa mke mwingine umebaki na watoto amekunyanyasa umekimbia na wanao eithe of them sometiome s naamini kuwa maisha yanapangwa na mungu pekee wazazi niwakutulea kimwili zaidi ila roho zetu mungu anamiliki sionagi sababu yakung'anganiza eti watoto kulelewa na wazazi wote wawili ni muhimu si sahihi kuna kesi nyingi zinaamuliwa humu na GTHINKERS wanakuwa wanamshauri beba watoto ondoka unafikiri hawajui umuhimi wa 2 parents sometimes sounds nothing ,je libaba/ liko tu pale haliwatunzi mnamuona mama yenu anavyoteseka na nyie bado mnataka tu kumuona wa faida gani? Kifulambute
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom