Nilichokitafuta nimekipata!!!!!!!!

Hahahahahaaa Riwa leo sikujua kama naweza kucheka kabisa ila umenichekesha,haya mkuu teknik unaweza kuitumia nakuruhusu ila hakikisha uko fit usije anza kutetemeka kama mimi wakati unamjibu wife


Ahsante kwa kunipa hiyo 'teknik'...maana 'mamsap' na boss wake siwaelewi elewi!
 
Na kweli umekipata hebu soma sredi ya mambo ya simu na mahusiano ipo apo juu kabisa. Pole

je ukiachana na huyo uko uendako je kutakua Salamaa??? au huyo mwingne yeye atakua wewe ndio wakwanza kwakooo??? Tafakali achukua hatua pole
 
na kweli umekipata wengine huwa tunaonekana washamba siendaga ndani kutafuta vilivojificha labda siku niwe nimeamua kufanya maamuzi magumu.ulipoanza uchunguzi wako na majibu ungekuwa umeyapanga nini kutafuta presha.
 
hahahahaaaaa

jino kwa jino lol

mi nlishawaambia wadada ukitaka kufatilia sim ya mumeo hakikisha una kifua na huna magonjwa ya moyo lol.....
[/COLOR]

yaaaani! Tena inabidi kupanga na maamuzi utakayochukua mapema sio ukishapata ulichokitaka unabaki dilemma.
 
siendaga ndani kutafuta vilivojificha labda siku niwe nimeamua kufanya maamuzi magumu..
hayo ndio maisha, kama ndoa bado ina amani na upendo hakuna sababu ya kutafuta ushahidi wa maovu ya mwenzi wako wakati unajua huna uwezo wa kufanya maamuzi magumu.
Hata hivyo inawezekana secretary ndio anadanganywa danganywa hapo ila mtoa mada kapanick kusikia mwenzie mtamu zaidi. Lol
 
Ameshajua makosa mi yake, Msamehe na muanze upya , Tu kama kuna ulipopapunguza upajazie iwe kama mlivyoanza kuwa pamoja

Pole Sana
 
KK III tuna mtoto mmoja,kwani siwezi kuepusha msongmano hata kama tuna mtoto?

Yetoo mama hatuachi mume kwa mess up moja !hiyo ni ndoa yako mpenzi mnavoendelea kukaa kimya mnazidi kuwiden the gap!haijalishi wapo ofisi moja manake anaweza akamuacha huyo akawa na mwingine wa ofiis nyingine au wa ndani kwako,so heb think positive mimi niliposoma thread yako kweli nilikuwa shocked sana na ndo mana sikukomment kitu mara ya kwazna lakini nimerudi nikwambie haya,
kukosea na kukosewa ni maisha lakini kusamehe na kusamehewa ni kuishi.ukisamehe ni kwa ajili ya afya ya moyo wako mwenyewe wala si mtu mingne ukiacha kusamehe unajibbesha mzigo kwa kosa ambalo si la kwako,umeligundua hilo face ur hubbie and talk to him muonyeshe ni jinsi gani umeumia, walivyo hawa anaweza asikuulize chochote miaka nenda rudi na anavozidi kukuona umenyamaza si ajabu anaaamini umemsamehe !TALK TO HIM !Ukimya wenu hauwasaidii mnazidi kupoteza hiyo ndoa.nakuhurumia sana mamie lakini siku nyingine achana na habari ya kutafuta simu ya mumeo ina nini,ni presha ,yes hawa ni waume zetu lakini God Knows wat they do behind our backs or even under our very noses,so please relax na tafuta njia ya kurescue ndoa yako!MUNGU AKUTANGULIE NA KUKUPA BUSARA YA KULIKABILI HILI
 
Pole sana. Ila jua kuwa ni kosa kwa mwanamke kumchunguza sana mme, na vilevile mwanaume kuchunguza sana Mke. Kawaida, kila kitu hukinai. Mme kabla hamjaoana, anakuona kitu cha thamani sana. baada ya kuoana na kuzoeana, unakuwa mtu wa kawaida. hivyo anatamani kuona kitu kipya. Kwa heshima mme atajitahidi usione mwenendo wake. kuchunguza sana, ni kutaka kugundua mambo ambayo ukiisha yaona yatakuumiza. Umejitahidi kuchunguza, na umefanikiwa umegundua. sasa faida yake ni nini????? Je! kama usingechunguza, hayo yangekuumiza??????? Jitahidini wanawake muache kuchunguza waume zenu, na wanaume muache kuchunguza wake zenu. Katika mambo magumu duniani, OGOPA KUFUMANIA. MUNGU APISHE MBALI, USIJE UKAONA MTU WAKO YUKO NA MWINGINE. ACHA KUMCHUNGUZA MWENZAKO ILI USIFUMANIE, NA HAPO UTAISHI KWA AMANI SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO!!!!!!
 
Pole sana cha muhimu ni kukaa nae mzungumze na kitendo cha yeye kukaa kimya nae anaomba ushauri kama wewe sasa ni bora kumbana na kuwekana sawa.
 
Pole sana mkuu,
Mtu kuambiwa kazi unayofanya hakuna kitu inakushusha moyo kabisa ila ya kutokuwa mtamu duh!
Ila at the end of the day hakuna kosa lisilosameheka...U have to bring yourself to forgive him. Thats when the true value of your love is proved.
 
Usimsemeshe, muache aanze mwenyewe kujieleza. Too bad umejiwahi humu; who knows angeweza kuleta thread ya hiyo issue humu tumshauru.

Lkn ninyi wanaume, hamna mistari ya maana bila kuwasagia wake zenu? Imagine na wake zenu wawe wanawasagia na vibamia vyenu, mtajisikiaje?
Pls be more creative, find other lines. Khah!
 
Pole YETOOOhiyo ndio shida ya 'kutafuta'. Kwa hiyo tabia ya kutafuta/kufuatia niliwahi kuambiwa (na mtu mzima) ukimchunguza sana kuku utakuta ana mapembe ili hali katika hali ya kawaida kuku hana pembe. Alikuwa akinikanya kuwa kama sijaona live basi nisitafute.

Mumeo hatakaa kimya siku zote, ataongea tu nawe msikilize. Pole mamii.
 
Last edited by a moderator:
pole sana, ila nawaomba akina dada acheni kazi za upelelezi kwa waume wenu nanyi akina kaka vilevile.mwisho wa siku mtakuja kufa kwa presha.
 
Back
Top Bottom