FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,108
- 13,346
Unapendaga ubishi usio na msingi, unasema nimeleta data unofficial wakati ile imetoka TAMISEMI.. Mimi siko Mwanza, wewe ndiye huko Mwanza, Kama nilicholetea ni uongo basi leta wewe uliyeko huko Mwanza mapato ya kweli. Ni aibu kwa wewe uliyeko Mwanza uniombe mimi ambaye siko huko data za Mwanza ambazo unaweza kuzipata kwa Mkurugenzi wako..Mkuu nilimzungusha kdogo mitaa ya bwiru, akahamia kwenye GDP, hatujakaa sawa mara akatokea fisadi kuu...akahamisha mada kwenye tax revenue regional statistics, nikamwambia tubak mjin...akaniletea unofficial report hku ak ignore ilemela, nikamwambia bas anipatie statistics ya mapato ya nyamagana, ilemela na arusha district...Mara viwanda vilivyoanzishwa Kilimanjaro, mara biashara, nikamwambia alete takwimu hzo kiwilaya zaid... Viwanda vilivyoanzishwa ilemela, nyamagana, arusha, mosh nk....mana hapa issue ni mji vs mji, sio regional vs regional
Usiwe unabisha kwa maneno matupu... Leta hapa vithibitisho..