mcrounmj
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 380
- 885
Msamvu ya vumbi, bora hata moshi kwa stend wamejitahidiKwani hapa Tanganyika kuna stendi gani angalau iko standard zaid ya msamvu Morogoro
Msamvu ya vumbi, bora hata moshi kwa stend wamejitahidiKwani hapa Tanganyika kuna stendi gani angalau iko standard zaid ya msamvu Morogoro
Hivi ardhi ni ya serikali au mchaga??Jiji la pili kwa blah blah zako tu... Moshi kamwe haiwezi kuwa Jiji sababu hakuna mchagga atatoa ardhi yake bure eti ili mji upate heshima ya jiji.. Hell no, na kama watatoa hizo pesa za serikali kufidia wala hawatakuwa nazo...
Acha watu muitwe jiji angali mnalala njaa... Soon nakuletea data za NBS zikionyesha Mwanza ilivyotupwa mbali na Arusha na Kilimanjaro kwenye sekta ya biashara.. Kidogo kidogo tu utaelewa na si blah blah... Hapa twende na data na tafiti tu si maneno ya vijiweni
Hizo dharau, unaifahamu stand ya msamvu wewe. Mbona kila kitu nyie mwavutia kwenu?. Sometimes wekeni pembeni mihemko y ushabiki. Stand ya moshi si inapishana kidogo tu ya same.Msamvu ya vumbi, bora hata moshi kwa stend wamejitahidi
Haina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni, ila kwa muda wote niliokaa Arusha nimeshangaa sana uzuri wa sura wa mabinti hadi nikatengeneza principal kwamba ukiwa Arusha angalia shape tu sura wengi wazuri kama siyo wote, Arusha na Singida si mchezo kwa upande huwo, maendeleo yapigianeni, Japo njiro na baadhi ya maeneo ni pazuri pia, Unga limited nasikia hapapitiki usiku ni shida, shivers nilikaribishwa nimmepaona lakini hicho siyo kiashiria cha maendeleo Japo kuna wadada wazuri hataree
Hivi ilishakamilika?Msamvu ya vumbi, bora hata moshi kwa stend wamejitahidi
Kama wakiitaka wanakupa fidia hiyo ni mali yako ila kama wakiitaka wanakunyang'anya kwa lazima bila fidia hiyo sio mali yako.Hivi ardhi ni ya serikali au mchaga??
Wewe kubali ukweli mchungu.Huu ubishi wengine unatuelimisha, ila post kama hii utaharibu au kuhamisha mantiki ya hii thread.
JumamosiFiesta wanakuja lini chugaaa?