Nilichogundua kuhusu Arusha

elimuplatform

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,054
462
Haina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,

ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,

Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni, ila kwa muda wote niliokaa Arusha nimeshangaa sana uzuri wa sura wa mabinti hadi nikatengeneza principal kwamba ukiwa Arusha angalia shape tu sura wengi wazuri kama siyo wote, Arusha na Singida si mchezo kwa upande huwo, maendeleo yapigianeni, Japo njiro na baadhi ya maeneo ni pazuri pia, Unga limited nasikia hapapitiki usiku ni shida, shivers nilikaribishwa nimmepaona lakini hicho siyo kiashiria cha maendeleo Japo kuna wadada wazuri hataree
 
Haina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angeendelea mkwere wangekua mbali, ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote, Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni
Njoo tukuzungushe jijini.jiji halichunguliwi ukiwa ndani ya Lori la mkaa !!
 
●●●HAHAHAHA....!!!!●●●

Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-

1) Climatic Condition:

Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.

2) Good & Executive Hotels,

Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha

3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.

Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.

4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.

5) Swimming pools za hadhi nzuri sana

6) RALLY & Horse Ridding Je?

zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.

7) Really National Parks

ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.

8) Mt. Meru Je?

Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout

9) Uoto wa Asili je?

Huko Olmotonyi Forest unapajua?

10) Water falls je?

Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo

11) Bar & Night Clubs Je?

Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.


12) Mito na Mabonde je?


13) HipHop Musics Je?

Unawajua hawa?

-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz


Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....

●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom