Nilichogundua kuhusu Arusha

Jiji halijapangiliwa kabisa at least njiro, moshono,sakina

Nenda kijenge,ungaltd matejo,eso daraja2 na kwingine utashika kichwa unplaned + uchafu mzee

Halafu ukijenga ghorofa lako kinyume na sheria unaweza kurekebebisha makosa kwa kujenga nyumba nyingine ndogo pembeni na kuipaka rangi za kijani au njano kulizuia ghorofa lako lisititie
 
Jamani mimi nimekua nikisoma hii thread toka jana mnabishana sana kwa kifupi jiji la mwanza linaundwa na municipality mbili ilemela na nyamagana ila kiukweli huwezi linganisha na jiji la arusha lipo vizuri sana wala huwezi compare hata kidogo kimapato ndio usisubutu hata kukinganisha arusha ipo mbali sana yaani juu sana
 
Ubish
Jamani mimi nimekua nikisoma hii thread toka jana mnabishana sana kwa kifupi jiji la mwanza linaundwa na municipality mbili ilemela na nyamagana ila kiukweli huwezi linganisha na jiji la arusha lipo vizuri sana wala huwezi compare hata kidogo kimapato ndio usisubutu hata kukinganisha arusha ipo mbali sana yaani juu sana[/QUOTE
Ona naye huyu, unapajua juu ni wapi wewe.
 
Ubish
Wewe ndio kichwa ngumu nimekwambia ilemela na nyamagana wanashiriki kila kitu lakini budget kila mmoja anajitegemea na kuna mwenzako wa Mwanza hapo juu amekuambia.

Ila nyamagana ndio inachukuliwa kama jiji na ndio ipo responsible kwa budget ya jiji mbona ipo simple tu.

Mimi sijakuambia ilemela sio sehemu ya jiji la Mwanza ila nimekuambia budget ni nyamagana.

Ulishawahi kuona meya wa jiji na naibu wake wanatoka ilemela?

Kila jiji lina mfumo wake wa muundo tofauti na vyanzo vyake vya mapato mfano jiji la dar moja ya chanzo chake kikuu cha mapato ni ubungo hivyo vingine vinashikiliwa na halmashauri za kinondoni temeke na ilala.

Mwanza eneo la jiji ni nyamagana na ilemela lakini tukija kwenye muundo wa uongozi wa jiji na makusanyo ya kodi na budget nyamagana inasimama kama jiji na ilemela kama municipal council.

Ina haiwezekani zijitenge ukisema jyamagana pekee iwe jiji geographically mwaloni airport nyakato maeneo muhimu kwa jiji la Mwanza yatakua ilemela kitu kisicholeta maana.

Point ni kwamba nyamagana yote ni mjini na ilemela nusu ni mjini that's why zikaunda jiji under agreed conditions kama nilivyozitaja hapo.
Sasa kama zimeunda jiji kwanini mapato ya ilemela unayatoa.
 
bwana Fisadi umekunywa Dadii..?! Nimekuja kugundua wanapotaja Mwanza City wanaongelea Nyamagana, kumbe kuna Ilemela Municipal...

yea ni kweli mkuu wa Chuo, serikali ilivyoligawa jjiji la mwanza, zilipatikana halmashauri mbili.
halmashauri ya jiji la mwanza ambayo Ni nyamagana Na halmashauri ya manispaa ya ilemela.
kiutawala halmashauri ya jiji la mwanza Ni nyamagana.
kieneo halmashauri ya jiji la mwanza Ni nyamagana + ilemela.
 
Arusha kwa majumba pako vizuri mwanza wajipange tena
Wewe unaijua mwanza ? Ulishapanda capripoint ukaona vitu vilivyoko ? Ulishaenda Bwiru ? Au unaishia stand buzuruga ? Usilinganishe jiji la mwanza na hicho kijiji chenu cjui makiita Arusha. Mwanza ni habari nyingine
 
Nani kakwambia hiyo investment ni ya mhindi?
Umekariri Arusha ya 1890 saivi maeneo mengi yapo planned kwanza hata Arusha hauijui kaa kimya.
Wadanganye wasiofika Arusha. Ukitoka nje kilometer mbili umeingia kijijini .hiyo USA river yenyewe no plan ni matope tupu.
 
Jamani mimi nimekua nikisoma hii thread toka jana mnabishana sana kwa kifupi jiji la mwanza linaundwa na municipality mbili ilemela na nyamagana ila kiukweli huwezi linganisha na jiji la arusha lipo vizuri sana wala huwezi compare hata kidogo kimapato ndio usisubutu hata kukinganisha arusha ipo mbali sana yaani juu sana
Wewe Acha ujinga na elimu yako kuunga unga. Tunalinganisha majiji wewe ubachanganya mkoa na jiji. Wewe fanya utafiti kati ya majiji haya mawili ni lipi watu wengi wanapenda kuhamia na kuishi. Jibu utalipata kwamba ni Mwanza.
 
Isiwe ugomvi as long as both of these regions are found in Tanzania scenery we should have to be so glad for that, I believe now we shall be moving on the same boat buddy, enjoy your moment
 
yea ni kweli mkuu wa Chuo, serikali ilivyoligawa jjiji la mwanza, zilipatikana halmashauri mbili.
halmashauri ya jiji la mwanza ambayo Ni nyamagana Na halmashauri ya manispaa ya ilemela.
kiutawala halmashauri ya jiji la mwanza Ni nyamagana.
kieneo halmashauri ya jiji la mwanza Ni nyamagana + ilemela.
Aise nisaidie kuwaelewesha wananchi wenzako wa Mwanza sababu hata hawajui muundo na mgawanyo wa majukumu ya jiji ni ubishi tu wa kitoto.
 
Wewe Acha ujinga na elimu yako kuunga unga. Tunalinganisha majiji wewe ubachanganya mkoa na jiji. Wewe fanya utafiti kati ya majiji haya mawili ni lipi watu wengi wanapenda kuhamia na kuishi. Jibu utalipata kwamba ni Mwanza.
Factors zinazochangia immigrations/population kubwa Mwanza ni hizi.

- Mwanza imezungukwa na mikoa masikini sana
- Mwanza maisha marahisi (sababu mtu akifungua biashara Mwanza anamlenga mvuvi - low income people)

- Mwanza wanazaliana kwa wingi
- Mwanza population ni kubwa
- Wakazi wa Mikoa jirani ya Mwanza wana ndugu wengi Mwanza ( higher immigrants low emigrants)
- Wengi wanaokuja Mwanza wanakuja kutafuta maisha from the scratch.
- Wengi wanaokuja Mwanza ni tegemezi na elimu yao ni ndogo.

Factors zinazochangia immigrations/population ndogo Arusha

- Arusha imezungukwa na mikoa yenye hali bora za kimaisha (HDI) Kilimanjaro na Manyara. (Ina fertile soil, major tourism attraction, reliable economic activities) hawa wakija Arusha wanakuja kuwekeza sio kutafuta vibarua.

- Arusha maisha ni ghali (higher cost of living) threat kubwa kwa mlalahoi kuja kuanzia maisha. (Mtu akifungua biashara Arusha anamlenga mtalii - high income people)

- Birth rate ya Arusha ni minimum
- Population ya Arusha ni ndogo
- Wakazi wengi wa Arusha wanaondoka Arusha na kuenda kutafuta maisha mikoani
(Higher emigrants lower immigrants)

- wengi wanaokuja Arusha ni watu wa mataifa yaliyoendelea (tourists) hawa wanakuja kuwekeza, kuoa/kuolewa. kuleta new developed lifestyles, partnership na wenyeji in positive movements.

- Arusha kuna wakazi wengi wanaonda nchi za ulaya na marekani kusoma au kufanya kazi hivyo huwasaidia familia zao in many ways mfano ni shule za St Jude inayotoa elimu standard ya ulaya bure kwa maelfu ya watoto masikini wa Arusha wengi wa wanafunzi wake wenye uelewa wa hali ya juu hupelekwa marekani na Canada kusoma higher education with 100% free sponsorship.
 
- Mwanza maisha marahisi

- Arusha maisha ni ghali (higher cost of living) threat kubwa kwa mlalahoi kuja kuanzia maisha.

- Birth rate ya Arusha ni minimum
- Population ya Arusha ni ndogo
- Wakazi wengi wa Arusha wanaondoka Arusha na kuenda kutafuta maisha mikoani
(Higher emigrants lower immigrants)

- wengi wanaokuja Arusha ni watu wa mataifa yaliyoendelea (tourists) hawa wanakuja kuwekeza, kuoa/kuolewa. kuleta new developed lifestyles, partnership na wenyeji in positive movements.

- Arusha kuna wakazi wengi wanaonda nchi za ulaya na marekani kusoma au kufanya kazi hivyo huwasaidia familia zao in many ways mfano ni shule za St Jude inayotoa elimu standard ya ulaya bure kwa maelfu ya watoto masikini wa Arusha wengi wa wanafunzi wake wenye uelewa wa hali ya juu hupelekwa marekani na Canada kusoma higher education with 100% free sponsorship.
Ahsantee.
 
Ingekuwa ni interview, ungerudi kijijini kwenu loliondo ukalime alizeti. Hujasoma jiografia na kibaya zaidi hujasoma economics. Hujui hata sababu zinazopelekea eneo fulani kuwa na population kuliko maeneo mengine halafu unajinadi kuwa una IQ kubwa.
 
Mkuu tatizo hawajui namna gani Mwanza ipo doro na hawajui mpaka saivi Central Government Revenue Collection bado inachukulia mapato ya Geita ni ya Mwanza hata baada ya kuwa mikoa tofauti 2012

hivyo hawajui pia hayo mapato kiuhalisia siyo ya Mwanza pekee ikipigwa ya Geita chini Mwanza hawana tofauti na Songwe.
Mkuu leta mapato ya wilaya ya ilemela, nyamagana na arusha...tufunge mjadala
 
Wewe unaijua mwanza ? Ulishapanda capripoint ukaona vitu vilivyoko ? Ulishaenda Bwiru ? Au unaishia stand buzuruga ? Usilinganishe jiji la mwanza na hicho kijiji chenu cjui makiita Arusha. Mwanza ni habari nyingine
Mkuu nilimzungusha kdogo mitaa ya bwiru, akahamia kwenye GDP, hatujakaa sawa mara akatokea fisadi kuu...akahamisha mada kwenye tax revenue regional statistics, nikamwambia tubak mjin...akaniletea unofficial report hku ak ignore ilemela, nikamwambia bas anipatie statistics ya mapato ya nyamagana, ilemela na arusha district...Mara viwanda vilivyoanzishwa Kilimanjaro, mara biashara, nikamwambia alete takwimu hzo kiwilaya zaid... Viwanda vilivyoanzishwa ilemela, nyamagana, arusha, mosh nk....mana hapa issue ni mji vs mji, sio regional vs regional
 
Factors zinazochangia immigrations/population kubwa Mwanza ni hizi.

- Mwanza imezungukwa na mikoa masikini sana
- Mwanza maisha marahisi (sababu mtu akifungua biashara Mwanza anamlenga mvuvi - low income people)

- Mwanza wanazaliana kwa wingi
- Mwanza population ni kubwa
- Wakazi wa Mikoa jirani ya Mwanza wana ndugu wengi Mwanza ( higher immigrants low emigrants)
- Wengi wanaokuja Mwanza wanakuja kutafuta maisha from the scratch.
- Wengi wanaokuja Mwanza ni tegemezi na elimu yao ni ndogo.

Factors zinazochangia immigrations/population ndogo Arusha

- Arusha imezungukwa na mikoa yenye hali bora za kimaisha (HDI) Kilimanjaro na Manyara. (Ina fertile soil, major tourism attraction, reliable economic activities) hawa wakija Arusha wanakuja kuwekeza sio kutafuta vibarua.

- Arusha maisha ni ghali (higher cost of living) threat kubwa kwa mlalahoi kuja kuanzia maisha. (Mtu akifungua biashara Arusha anamlenga mtalii - high income people)

- Birth rate ya Arusha ni minimum
- Population ya Arusha ni ndogo
- Wakazi wengi wa Arusha wanaondoka Arusha na kuenda kutafuta maisha mikoani
(Higher emigrants lower immigrants)

- wengi wanaokuja Arusha ni watu wa mataifa yaliyoendelea (tourists) hawa wanakuja kuwekeza, kuoa/kuolewa. kuleta new developed lifestyles, partnership na wenyeji in positive movements.

- Arusha kuna wakazi wengi wanaonda nchi za ulaya na marekani kusoma au kufanya kazi hivyo huwasaidia familia zao in many ways mfano ni shule za St Jude inayotoa elimu standard ya ulaya bure kwa maelfu ya watoto masikini wa Arusha wengi wa wanafunzi wake wenye uelewa wa hali ya juu hupelekwa marekani na Canada kusoma higher education with 100% free sponsorship.
Umeanza Vizuri ila mwshoni umetia pumba mkuu
 
Back
Top Bottom