Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,060
- 114,429
Bora wa mpira ule ni wa kuchezea singeliKisongo ni uwanja wa mpira?
Bora wa mpira ule ni wa kuchezea singeliKisongo ni uwanja wa mpira?
Nothing is impossible kama land surveyors wapo... Halafu, hebu pita barabara ya Arusha- Namanga uone tambarare zilizopo...Mkuu hilo najua ndio mana nkamwambia arusha huwezi kujenga uwanja mkubwa mana tambarare ni sehemu ndogo sana
umesahau●●●HAHAHAHA....!!!!●●●
Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-
1) Climatic Condition:
Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.
2) Good & Executive Hotels,
Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha
3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.
Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.
4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.
5) Swimming pools za hadhi nzuri sana
6) RALLY & Horse Ridding Je?
zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.
7) Really National Parks
ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.
8) Mt. Meru Je?
Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout
9) Uoto wa Asili je?
Huko Olmotonyi Forest unapajua?
10) Water falls je?
Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo
11) Bar & Night Clubs Je?
Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.
12) Mito na Mabonde je?
13) HipHop Musics Je?
Unawajua hawa?
-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz
Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....
●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
Mimi ni Mtanzania.Who are u mpaka kutousikia kwako kudhibitishe udogo wa uwanja..for your info ni uwanja mkubwa ila hutumika sana na TMA for military training,pamoja na hayo kuna civil avation pia
Huwez peleka fiesta Chuga..utaishia kupata hasara...kule hakuna mwamko wa burdaniFiesta wanakuja lini chugaaa?
Arusha hamnaga kitu ka hiyo, huko pwan ndo mnacheza singeli cjui vgodoroBora wa mpira ule ni wa kuchezea singeli
Akili ndogolabda arusha ni pabaya sana ila hata paikiwa puzuri kuna maghorofa na kila kitu wewe itakusaidia nn? Hiyo mikoa mizuri mizuri inakusaidia nn kwenye maisha yako? Maghorofa na hoteli na kila kitu vina wenyewe tafuta vyako ufanye kwako pawe pazuri.
Utakuwa mtanzania uchwaraMimi ni Mtanzania.
Mshavuta majani yenu......!!!!Utakuwa mtanzania uchwara
Mkuu vipi pale mrina hujafika nini??Haina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni
Nadhani mtoa Uzi ni mtu wa public transport sana ndio maana kaanza na bus stand... that is good observationHaina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni
Nyumbani one hiyooo!!!●●●HAHAHAHA....!!!!●●●