Nikifanya mapenzi ninafika mshindo ndani ya dakika moja tu!

family back ground ichunguzwe.fikîria shule au shughul nyngne.hyo ni ngono c mapenz.u a stil young.
 
me mvulana wa miaka 18 nkiwa nafanya mapenzi huwa nawai kuchoka kiac cha kwamba nashinda kabisa kumaliza lile tendo sijui sababu ni nini maana natumiaga muda mwingi kwenye romance sasa sijui ndo inasababisha nachoka!

Kuwa na subira ukishakua MWANAUME hautachoka.
 
usizidishe muda wa dk 15 kwa romance tu, halafu usifanye romance kwa kupumzikapumzika, na usitumie nguvu sana, relax na uache mwili upate hisia wenyewe, concetrate kwenye mawazo yako, usfikirie vitu vingine wakati unafanya, mshirikishe mwenzako wakati wa tendo, na ikiwezekana muwe kwenye maongezi ya mapenzi ambayo yanaleta hisia, iwe yanawakumbusha uzuri na utamu wa kila mmoja wenu au kitu kingine kama hicho...... zaidi na zaidi usiwe na papala kama hujawahi kufanya (acha ushamba)
 
Mkuu acha tu hiyo biashara imekushinda ukiwa fresh utaendelea kwa sababu haina maana unachofanya.
 
Hebu ni PM nikuunganishe mahali hakika akitoka harudi tena maana mwanzo mwisho hukojoi
 
Nanukuu...

Mimi nina tatizo moja ambalo linanisumbua sana! Ninapokuwa ninafanya mapenzi na mpenzi wangu waga tunaandaana vizuri tu mpaka yeye mwenyewe aniembie sasa unaweza kuingia!! Tatizo ni kwamba nikiingia tu na kuanza mara 1, 2, 3 hata kabla dakika moja haijamalizika 'ninafika mshindo' na kitu kinalala kabisa na kumuacha 'binti' akiwa hajafika popote!!

Wasiwasi wangu ni kuibiwa na manyang'au! Je nifanyaje ili niweze kumaliza naye pamoja? Au je nifanyaje angalau nami niwe nachelewa walau kiodogo hata kama ni dakika tano tu zinatosha!

Naombeni msaada wenu!


Mwanaume yeyote akifikiria ile kitu kwa asilimia 100 anaweza kuejaculate in a second. Hili tatizo kwako linaweza kusababisha mahusiano kuvunjika au mwanamke kutoka na mwanaume mwingine.

Ushauri:
1. Cocacola, konyagi na Guiness
Changanya hiyo konyagi kidogo, coca na guiness(usimalize chupa nzima), itakusaidia na ni afya(sio viagra)

2. Supu ya pweza

3. Usiingie kwa msichana kuwa chini yako. Muache akae juu ikiwezekana akukanyage usikie maumivu.

4. Usiwaze sana ukiwa unataka kuingia. Usiangalie kifuani pa msichana wako. Usiangalia makalio yake. Wala usiwaze kama unaingia. Usibane misuli

5. Tafuta kitu cha kukupotezea mawazo mfano assume mtu anachungulia nje so wakati unafanya tendo la ndoa unakuwa unaangalia labda mtu anachungulia. Unaweza kuweka movie ya kutisha.

6. Kama unafanyia kitandani, kaa karibu na mwisho wa kitanda kama unataka kudondoka ili ukijisikia kama unataka kuejaculate unatoka na kuweka nje ya kitanda(sakafuni)

7. Usiejaculate ndani yake. Ukifanya hivyo itakuwa tepetepe kwa muda na inaweza kukupunguzia ladha ukashindwa kusimama kabisa.

8. Ukishaejaculate kwa nje, jaribu kurudi ASAP ndani kwa style unayoipenda sasa. Labda doggy au yoyote itakayokupa uamsho(mara nyingi ukiona makalio inasaidia)

9. Jaribu kumbeba juu juu umesimama yeye amekushika mabegani. Hii inasaidia sana kumuamsha jamaa.

10. Ongezea za kwako mwenyewe.

Mshirikishe mwenzi wako ili msaidiane katika kufanya usiejaculate mapema. Jaribu kama mambo hayajawa vyema tujuze tusaidiane.

PIA, UCHOVU unachangia na eneo lile lile vinaweza kufanya ushindwe kuamka tena.
 
Jaribu Mambo Haya:

1.Zungumza Na Mpenzi Wako Kwa Upendo Juu Ya Tatizo Lako.

2.Punguza Presha Kabla Hamjakutana!

3.Tomasa Sehemu Nyeti Au Hata Kuzama Chumvini Ikiwezekana

4.Ukiingiza Kadi Yako Hakikisha Unatulia Kwa dk Kadhaa Ili Izoee Ari Ya Joto La Mle

5.Staili Zako Ziwe Za Kumjali Zaidi Mpenzio Kuliko Wewe(Push Up Attack) Hii Itakupunguzia Muhemko Wa Raha!

6.Tafuta Style Ambazo Zitaleta Msuguano Wa Karibu Ambao Utamfanya Mpenzio Afike Upesi(mke Analala Kiubavu\chali Kwa Kubananisha Mapaja Na Kuyapeleka Mbele,Huku Mzee Unaanza Kusugua Bila Presha,Ikibidi Bana Pumzi Kwa Mda Na Uwe Unairudisha Na Kuitoa Kwa Hisia Polepole)

NI MACHACHE LAKINI WADAU WANA MENG ZAIDI,MAANA HILI NI JANGA LA KITAIFA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom