Kwa mwenendo huu atakuwa na mapenzi ya dhati kweli au napoteza muda wangu tu

Zero unit

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
288
220
Habari za muda huu wana JF?
Mwenzenu kuna jambo kidogo linanisumbua sana. Nina mpenzi wangu ninampenda sana ila yeye sina uhakika kama kweli ananipenda au laa. Ni kwamba mara nyingi huwa tuna wasiliana tu kwa simu coz yupo mbali hivyo tunaonana mara moja moja sana basi mwenzangu anaweza kumaliza hata siku mbili bila hata kunijulia hali sijui ni kwa nini na hili ndo linalosababisha niwe na mashaka na mapenzi yake kwangu kwani saa zingine namtafuta mimi ila simsomi kabisa jamani.

Msaada jamani, je ni kweli huyu mtoto wa kike ananipenda kweli au nipambane tu na hali yangu?
 
Kwa hiyo shida yako akupigie tu simu basi ndo utajuwa ana upendo wa DHATI ???

Kutokupiga Simu tu haitoshi kusema hakupendi,,but huenda kuna nyongeza ya tatizo,njoo twambie vizur tukusaidie!
 
Habai za mda huu wana jf?
Kwenzenu kuna jambo kidg linanisumbua sana. Nina mpnz wangu ninampenda sana ila yeye sina uhakika kma kweli ananipenda au laa. Ni kwamba mara nyingi huwa tuna wasilianatu kwa cm cz yupo mbali hivyo tunaonana mara moja moja sana bac mwenzangu anaweza mqliza hata cku mbili bila hata kujulia hali cjui ni kwa nini na hili ndo linalo sababisha niwe na mashaka na mapenzi yake kwangu kwani saazingine namtafuta mm ila simsomi kabisa jamani. Msaada jamani je ni kweli huyu mtoto wa kike ananipenda kweli au ni pambane tu na hali yangu?
Asante mkuu
 
Mkuu kuna wakati umbali na mpenzi wako huwa kunaleta changamoto nyingi sana

Ila kama kweli upendo wako upo kwake na una malengo nae kaa nae zungumza ili ujue nini tatizo na kama una nafasi Fanya taratibu umchukue mwishi pamoja
 
Mkuu unataka mtoto wa kike ndio awe anakutaftatafta mara kwa mara? Anyway, kwa maelezo yako inaonekana she takes u for granted msome akiona hasomeki mtaftie msaidizi.
 
ukiwa katika mahusiano ukajikuta unajiuliza kama unapendwa ama laa, jiongeze tu hapo hakuna kitu
 
Ulivyoandika haki kama nisingemaliza kusoma nilifikiri wewe ni ke .

Achana naye hana mpango nawe huyo.
 
Hisia zako zaweza kuwa za kweli au sikweli.
Wakati utaamua, vuta subira
 
Back
Top Bottom