Nikifanya mapenzi ninafika mshindo ndani ya dakika moja tu!

Hayo maswali kamuulize dingi yako, kwanza huo ni umri wa shule kasome! Unachoka sababu unafanya vitu vikubwa kuliko umri wako, na ukimwi hauna dawa endelea kujichosha!
 
me mvulana wa miaka 18 nkiwa nafanya mapenzi huwa nawai kuchoka kiac cha kwamba nashinda kabisa kumaliza lile tendo sijui sababu ni nini maana natumiaga muda mwingi kwenye romance sasa sijui ndo inasababisha nachoka!

Huyu unaye fanya naye mabao haya ya wakubwa ana umri gani nae?
 
na huyo unayefanya naye mapenzi ana umri gani kama sio kuharibiana maisha hapo...achana na hayo mambo wewe bado mdogo kasome shule au kama husomi tafuta kazi ya kufanya uwe bize na utasahau mambo ya kufanya ngno...tulizana na kuandaa maisha yako hata miaka 20 hujafika unaanza kuumuza kichwa na mambo ya ngono...ukoje wewe??????????????aaaaggghhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!
me mvulana wa miaka 18 nkiwa nafanya mapenzi huwa nawai kuchoka kiac cha kwamba nashinda kabisa kumaliza lile tendo sijui sababu ni nini maana natumiaga muda mwingi kwenye romance sasa sijui ndo inasababisha nachoka!
 
we valence hivi lile zoezi nililotoa darasani ulimaliza?
na ile group work je?
UNAJIUMIZA!
FOCUS NA SHULE!unaona matokeo yake?
kama umeshajua kuwa unachoka haraka manake kuna kipindi ulikuwa huchoki?nakijaribu kuangalia umri ili niweze kuugawa nipate kipindi ulichokuwa huchoki MABHATA USHUNGU:A S embarassed:!
kuna kipindi itafika utashindwa hata kuchoka mwanangu!
 
Last edited by a moderator:
mzima mkuu.......ametoroka kipindi jioni ana kidate.....kuchoka kupi dogo anazungumzia

mzima kabisa my dear Blaki Womani
dogo sijui anawaza nini badala awaze hata maisha yake yatakuwaje anawaza kuchoka kufanya sex na umri wa miaka 18
Na sijui anazungumzia kuchoka kupi may be mpaka kinanihiii chake kinalegea
 
Last edited by a moderator:
mzima kabisa my dear Blaki Womani
dogo sijui anawaza nini badala awaze hata maisha yake yatakuwaje anawaza kuchoka kufanya sex na umri wa miaka 18
Na sijui anazungumzia kuchoka kupi may be mpaka kinanihiii chake kinalegea

hawa watoto wa siku hizi taabu tupu mapenzi changanya na masomo atafika kweli na kaumri kenyewe ndio kwanza hajajua hata kupenga kamasi......tena kanajisifia kanafanya romance muda mrefu daaaahh maombi na sala yanahitajika kwa watoto wetu
 
hahaha safi sana kijana kumbe wewe mpenzi wa K. mie nakupa hongera maana unaenjoy ujana wako wakati sahii sio mizee kurukia visichana.
kwanza kabisa vizuri kuwa umeona unabugi kwenye game na unatafuta solution. kwanza kabisa game hili halitaki papara mwana...taratibu kama wala embe. kidizaini flani unakuwa unamtegea demu afanye majamboz wakati wavuta pumzi. ila sasa kuna mambo ukafanye...strength endeuarance utakuwa mkali kwenye game balaaaa

push up 15
situp 15
squats 15
squat and jump 15
plank hold for 30 sec
side plank 30 sec

rudia mara tatu pumzika 2 minutes kabla ya rudio
alafu nenda jogging 25 minutes.
mwana nakwambia demu lazima akutafute kila leo utakuwa fitt balaaaaaaaaa
 
we valence hivi lile zoezi nililotoa darasani ulimaliza?
na ile group work je?
UNAJIUMIZA!
FOCUS NA SHULE!unaona matokeo yake?
kama umeshajua kuwa unachoka haraka manake kuna kipindi ulikuwa huchoki?nakijaribu kuangalia umri ili niweze kuugawa nipate kipindi ulichokuwa huchoki MABHATA USHUNGU:A S embarassed:!
kuna kipindi itafika utashindwa hata kuchoka mwanangu!

Red text imenifanya nitoke nikatafute coke bariiid.
 
hawa watoto wa siku hizi taabu tupu mapenzi changanya na masomo atafika kweli na kaumri kenyewe ndio kwanza hajajua hata kupenga kamasi......tena kanajisifia kanafanya romance muda mrefu daaaahh maombi na sala yanahitajika kwa watoto wetu

Ndo hapo inashangaza dear anaanza kujisifia mambo ya ajabu badala angepanga muda wake asome kwa bidii na kama sio kusoma atafute njia mbadala za kujenga maisha yake anazungumzia mapenzi Blaki Womani yahitaji maombi aise kwa hawa watoto maana wanajifunza mambo ambayo hawakutakiwa kujifunza
 
Last edited by a moderator:
OMG,acha kula chips dogo.
Angalia usije pata majukumu mapema,...
nakumbuka nilianza nikiwa 18,na nikapata mtoto mapema sana nikiwa 19.
Hayo majukumu yake sio mchezo,....Uko tayari au unafurahia tu kuchovya?
 
miaka 18 we bado knda..vp umeanza ln? Saiv unawaza ngono je ukfka 25 utawaza nn?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom