Nikifanya mapenzi ninafika mshindo ndani ya dakika moja tu!

...Mazee yaelekea valuuu imekupa matokeo bomba sana .. Naona maushauri yako lazima valuu iwepo...watch out bana utaua kama MC Lema (RIP)

No research you have no right to speak...watch out you guy........ Libeneke liendelee.
 
Nanukuu...
Mimi ninatatizo moja ambalo linanisumbua sana! Ninapokuwa ninafanya mapenzi na mpenzi wangu waga tunaandaana vizuri tu mpaka yeye mwenyewe aniembie sasa unaweza kuingia!! Tatizo ni kwamba nikiingia tu na kuanza mara 1, 2, 3 hata kabla dakika moja haijamalizika 'ninafika mshindo' na kitu kinalala kabisa na kumuacha 'binti' akiwa hajafika popote!! Wasiwasi wangu ni kuibiwa na manyang'au! Je nifanyaje ili niweze kumaliza naye pamoja? Au je nifanyaje angalau nami niwe nachelewa walau kiodogo hata kama ni dakika tano tu zinatosha! Naombeni msaada wenu!

daaaah pole kiongozi ...huyu aje agongane na nyang'aukama mimi atajuuuuta kunifahamu kitu 45-60minutes...ushanifahamu...ni PM nikupe mbinu ,tatizo utakuwa una machachari sana ndo maana kidogo tu kitu puani
 
Mimi nina mapendekezo mawili tu ya kutatua hili tatizo, na ufanisi wake ni 100%.
1. Mazoezi ya mwili. Yaani hii ni dawa tosha kabisa. Jinsi unavyojenga misuli mingine ya mwili, ndivyo ile ya pale inavyozidi kuimarika. Nakuhakikishia kama ulikuwa unachukua dakika 1, anza leo jogging, kunyanyua vyuma na kuvuta spring kila siku. Utaona mwenyewe dakika zinaongezeka siku baada ya siku, zitaanza kuwa 5, 10, 15, nk na ukiwa fit zaidi itachukua saa 1 na zaidi, yaani itabidi demu ndiye awe anafanya bidii ya kukufikisha.
2. Kuongezea hapo kwenye mazoezi ya mwili, ukiwa na mwenzio mnafanya, usiweke mawazo na akili yako kwenye hiyo kitu. Unaweza kufikiria kitu tofauti. Mimi nilikuwaga nafanya hesabu la kutoa 17 kwenye 10,000, narudi nayo kinyumenyume hadi nione itaishia wapi. Yaani unapokaribia kuingiza, anza kuwaza kwenye akili yako, hivi 10,000 ukitoa 17 inabaki ngapi? Unapata 9983. Kisha unaendelea hivi 9983 ukitoa 17 inabaki ngapi? Hivyohivyo.

Hizo mbili utadumu na kila siku atafurahi mwenzio.
 
mmmh hii kali sana....
 
Inaonekana huyo mkubwa anakuruza sana nyeto.,sasa mtarimbo unakuwa umezoea zaidi mkono kuliko uke kutokana na tofauti hiyo ndio maana ukikutana na uke tu kidogo unacheua na kulala doro.

Maelezo yako na ya waliokutangulia sio ya kisayansi.

Reductio ad absurdum ni kama ifuatavyo:

1. Kutumia 'mkono' ina maana anajipa msuguano wa hali ya juu kutokana na nature ya 'mkono' kuwa rough.

2. Kwenda kawaida na mwanamke manake ni less friction kwa sababu ya kutokuwepo 'mkono', I mean less friction . :D

3. Kwenda kawaida manake ingebidi kuchukua muda zaidi ili kuachieve the same effect ya 'mkono' (friction).

4. (And according to you) akienda kawaida anachukua muda mfupi!! ???

Your proposition and conclusion are fallacious and unscientific.
 
ahahahahaah...pole sana mkuu ila sio ishue sana kwa kupiga cha kwanza fasta kama unavyosema ..wapo wengine hicho cha kwanza akiwa anamchojoa demu kinatoka hewani..sio issue cha kwanza kuwahi...issue ni cha pili kutokuja mpaka kesho tena...hapo ndio naona tatizo..chunguza katika haya yafuatayo...

1- je unakuwa upo fresh kichwani kwako ..mean huna stress yoyote kama madeni unadaiwa uoga wa kitu au kazi kibao zinakusubiri kumeet deadline nakadhalika?
2- huyo demu unampenda kweli?...au mzee unalia njaa ukibutua mpira unakwisha maisha yanaendelea?
3- kiwango cha utundu wa demu anachokitoa kipo vipi?...mademu wengine hawajui hata kumuhamasisha mwenza kufanya zaidi na zaidi....mie yupo demu huwa nikikutana naye bila goli 4 huondoki chumbani...na ukiachana naye bado kitu imesimama imara kama kifimbo cha mwalimu...
4..jaribu kukamatia demu mwengine uone tofauti ya maujanja kati ya demu na demu utakubali tunamaliza mabucha nyama ile ile tofauti mapishi ya hiyo nyama...

5...tumia pombe kali kiasi flani inasaidia kuweka kitu imara kwa muda mrefu

ni maoni tuu wadau

This was very fun! Mtoa mada kanivunja mbavu, lakini na wewe umeniacha hoi kwa kicheko.
 
Wakati fulani inaweza kuwa tatizo au ufundi. Kuna wataalamu wanasema Mwanaume huwa inamchukuwa dakika zisizozidi 3 kufika kileleni wakati Mwanamke humchukua hata dakika 15 mpaka 20 kufika kileleni.

Kwa hali hii ni wazi kabisa mwanaume ukiweka ndizi yako kwenye bakuli ndani ya dk hizo 3 utakuwa umeshamaliza wakati yeye anahitaji walau hizo dk 15 - 20.

Cha muhimu wataalamu wasaidie/watusaidie namna ya kufika kileleni kwa pamoja.
 
Mimi nina mapendekezo mawili tu ya kutatua hili tatizo, na ufanisi wake ni 100%.
1. Mazoezi ya mwili. Yaani hii ni dawa tosha kabisa. Jinsi unavyojenga misuli mingine ya mwili, ndivyo ile ya pale inavyozidi kuimarika. Nakuhakikishia kama ulikuwa unachukua dakika 1, anza leo jogging, kunyanyua vyuma na kuvuta spring kila siku. Utaona mwenyewe dakika zinaongezeka siku baada ya siku, zitaanza kuwa 5, 10, 15, nk na ukiwa fit zaidi itachukua saa 1 na zaidi, yaani itabidi demu ndiye awe anafanya bidii ya kukufikisha.
2. Kuongezea hapo kwenye mazoezi ya mwili, ukiwa na mwenzio mnafanya, usiweke mawazo na akili yako kwenye hiyo kitu. Unaweza kufikiria kitu tofauti. Mimi nilikuwaga nafanya hesabu la kutoa 17 kwenye 10,000, narudi nayo kinyumenyume hadi nione itaishia wapi. Yaani unapokaribia kuingiza, anza kuwaza kwenye akili yako, hivi 10,000 ukitoa 17 inabaki ngapi? Unapata 9983. Kisha unaendelea hivi 9983 ukitoa 17 inabaki ngapi? Hivyohivyo.

Hizo mbili utadumu na kila siku atafurahi mwenzio.

Hiyo mbinu ya pili unaweza piga mayowe ya jibu ulilofikia wakatai wa kupiga bao watu wakadhani unahesabu fedha hahahaha
 
hahahaha hayo mahesabu ni babu kubwa, utata ni pale utakaposema 10000 -17 = 10017, yaani unajichanganya!
 
mbona umewahi sana kuanza hayo mambo,mi nimeanza at the age of 23, angalia chakula unachokula,inawezakana ni chips mayai daily na fanta orange,kwa stahili hii ipo siku hata kizibo cha soda utashindwa kukijaza mdogo wangu, fanya mazoezi,kula natural foods uone mzk wake!!
 
jamaniiiiiiiiiiii hiki kizazi cha dotcom mbona balaaa? mwanagu nenda shuleni basi au kafanye homework yako
 
mbona umewahi sana kuanza hayo mambo,mi nimeanza at the age of 23, angalia chakula unachokula,inawezakana ni chips mayai daily na fanta orange,kwa stahili hii ipo siku hata kizibo cha soda utashindwa kukijaza mdogo wangu, fanya mazoezi,kula natural foods uone mzk wake!!
COURTESY huyu dogo kayaaanza mambo mapema sana aise
Hata kama ni secondary ashakuwa mzoefu wa haya mambo na sijui kuchoka kupi anakokuzungumzia
 
Last edited by a moderator:
bwana mdogo nakushauri usome kwa bidiii sana!nahisi muda huu unatakiwa uwe darasani
mtangulize mungu katika maisha yako utafanikiwa! achana na ngono zembe
 
obama wa bongo asante sana kwa ushauri huu mzuri
dogo alipaswa awe anasoma muda huu wala sio kuwaza masuala ya mapenzi
Ameanza sana mapema kujihusisha na mambo haya angemaliza kwanza masomo yake ajue na mustakabali wa maisha yake
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom