Huko chini chini kuna quote ya mange isome na kasema mpk gvt anaipangia itakuwa sisi raiaIla watanzania noma sana daah msemaji wa maisha ya raia ni mange sio 😂😂😂
Huko chini chini kuna quote ya mange isome na kasema mpk gvt anaipangia itakuwa sisi raia
AiseeeHuko chini chini kuna quote ya mange isome na kasema mpk gvt anaipangia itakuwa sisi raia
Hadi Marehemu liyumba yule gavana wa benki . Pia dogo janja janjaro kafumua marinda.Isingekuwa orodha yake ndefu ya waliopiga, unaweza kujizima Siku Moja ukaenda kupiga
Kuna mdau mmoja alinambia ukihitaji yeyote niambie nikusogezee ila muhimu uwe na cash 🙌
Nikamwambia umri huu siwezi maana tumezeeka sana 🤗
Mtu amepigwa na Mapeshee ya tangu 2006, Kuna kupona hapo kweli 🙌
Hizi story za, wadada wa bongo, hazinaga uhalithia hata kidogo,
Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa akiwa na umri mdogo.
Niffer ambaye ametimiza miaka 24 mwaka huu, amesema safari yake ya kuutwaa utajiri haikuwa rahisi kama watu wanavyodhani, amesema yeye ni miongoni mwa watu waliotokea katika familia za kimasikini ambazo asubuhi unalazimika kula maembe badala ya kunywa chai, mrembo huyo amesema amewahi kwenda shule bila viatu, amewahi kupigwa kisa tu kukosa sabuni ya kufulia sare zake za shule, lakini pia alikuwa akimuona mama yake namna alivyokuwa anawahangaikia ili wapate chochote kitu na wakati mwingine alikosa kabisa, amesema hiyo ndiyo ilimpa chachu ya kuyasaka mafanikio kwa udi na uvumba ili asipite walimopita familia yake.
Kama ulikuwa unadhani mtaji wa duka kubwa la Niffer "Niffer Outfitstore" lilianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, mpambaji huyo amesema hakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, amesema alianza na elfu 40 pekee na haijamchukua muda mrefu tayari amekuwa tajiri kwa mtaji huo mdogo wa nyanya chungu na vitunguu.
Siri kubwa ya mafanikio ya Mwanaharakati huyo wa maisha amesema ni kuwa na nidhamu na pesa, kuwa na marafiki wa kukujenga, kumuomba Mungu huku ukifanya kazi, kwani yeye wakati anajitafuta alikuwa anafanya biashara hadi saa nane, saa tisa za usiku wa manane. Muhaya huyo wa Bukoba amesema watu wanamshangaa kwa kuwa na duka kubwa akiwa na miaka 24 kwasababu hawajui namna alivyopambana kwa bidii kuyasaka mafanikio.
Amemalizia kwa kuwashauri wasichana wenye umri mdogo na wanawake ambao umri umeenda na bado wanahaha kutafuta maisha kwamba wafanye kazi kwa bidii, waache kubwabwaja mitandaoni kufatilia maisha ya watu na badala yake wautumie huo muda wauze hata pilipiii mbuzi watafika alipofika yeye.
Kazi, si kazi, tu, inahitqjika, yenye kuingiza maokoto, na ndio ajira, hata kutembea kutoka bagamoyo au chalinze mpaka posta dar, au masasi mpaka nachingwea, au tinde mpaka kahama, ushirombo, kagongwa, ni kazi, lakini sio, ajira,Mim pia nilianza na nyoya la kuku saizi nina kuku 1700 bandani, naingiza zaidi ya million 30 Kwa mwezi...
Vijana tafuteni pesa, ajira hakuna ila kazi zipo ....
Macho yako hayaoni vizuri.Hata picha basi tumuone huyo niffer anaonekanaje?
Hatari sana Mkuu
Aloo kama ndoto hiviMim pia nilianza na nyoya la kuku saizi nina kuku 1700 bandani, naingiza zaidi ya million 30 Kwa mwezi...
Vijana tafuteni pesa, ajira hakuna ila kazi zipo ....
Duh!Amatus Liyumba Mzee wa gari nyekundu alipiga chata mademu wengi sana.....Janjaro alivamia mji kwa Pupa.
Usawa huu usipobaki njii kuu lazima utakumbana na JULIANA aka MKONO LA NYANI.
Hawakukata rufaa hawa?Hizi story za, wadada wa bongo, hazinaga uhalithia hata kidogo,
Kuna Yule mdsda alikuwa anahitisha mikutano anawakusanya wanawake, wasichana anawapa madini ya lo motivational jinsi ya kutengeneza pesa,akijitolea mfano jinsi ye ye alivyofanikiwa, kumbe, nyuma ya pazia ye ye na mumewe, wanauza, "unga" Cocaine, sasa hv ananyea debe lupango, Mali zote zilitaifishwa,
Watu wa kusikiliza ni wale wanaofanya biashara zinazoonekana, Lady jayd,shilole, au, Freddy vunja bei, ukisikia wanamiriki bilioni 500,wala, hushangai! Maana, biashara zao, zinaonekana, lakini hawa, ambao wanaibuka ghafra,mwaka mmoja alikuwa, hafahamiki, ghafla Leo Ana mijengo, mindinga nk! Hapo, utakuta ni danga la waziri,
Tayari wazee wa TRA wameshamuibukia.Sasa hamtaki
Ova