Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Kumbe ni nguvu ya Kipochi manyoya...

Ila amejua kulenga penye hela, maana wenzao akina Wema hawana hata Duka la kuzugia hapo Sinza πŸ™Œ

Wema utoto ulimsumbua ,alikuwa yupo juu kuliko hata huyo niffer ,Alifungua ofisi yake Endless Fame yenye capital zaidi ya 200m miaka hiyo(Aliwezeshwa na Boss wa ikulu)...Just imagine hadi secretary alikuwa anatumia MAC.
 
Wema utoto ulimsumbua ,alikuwa yupo juu kuliko hata huyo niffer ,Alifungua ofisi yake Endless Fame yenye capital zaidi ya 200m miaka hiyo(Aliwezeshwa na Boss wa ikulu)...Just imagine hadi secretary alikuwa anatumia MAC.
Kweli wakati ni ukuta

Saivi watu wanampiga Kwa dau Chini hata ya 500k

Ila Bongo ustaa mgumu sana, yaani una jina kubwa alafu mfukoni hauna kitu πŸ™Œ
 

Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa akiwa na umri mdogo.

Niffer ambaye ametimiza miaka 24 mwaka huu, amesema safari yake ya kuutwaa utajiri haikuwa rahisi kama watu wanavyodhani, amesema yeye ni miongoni mwa watu waliotokea katika familia za kimasikini ambazo asubuhi unalazimika kula maembe badala ya kunywa chai, mrembo huyo amesema amewahi kwenda shule bila viatu, amewahi kupigwa kisa tu kukosa sabuni ya kufulia sare zake za shule, lakini pia alikuwa akimuona mama yake namna alivyokuwa anawahangaikia ili wapate chochote kitu na wakati mwingine alikosa kabisa, amesema hiyo ndiyo ilimpa chachu ya kuyasaka mafanikio kwa udi na uvumba ili asipite walimopita familia yake.

Kama ulikuwa unadhani mtaji wa duka kubwa la Niffer "Niffer Outfitstore" lilianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, mpambaji huyo amesema hakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, amesema alianza na elfu 40 pekee na haijamchukua muda mrefu tayari amekuwa tajiri kwa mtaji huo mdogo wa nyanya chungu na vitunguu.

Siri kubwa ya mafanikio ya Mwanaharakati huyo wa maisha amesema ni kuwa na nidhamu na pesa, kuwa na marafiki wa kukujenga, kumuomba Mungu huku ukifanya kazi, kwani yeye wakati anajitafuta alikuwa anafanya biashara hadi saa nane, saa tisa za usiku wa manane. Muhaya huyo wa Bukoba amesema watu wanamshangaa kwa kuwa na duka kubwa akiwa na miaka 24 kwasababu hawajui namna alivyopambana kwa bidii kuyasaka mafanikio.

Amemalizia kwa kuwashauri wasichana wenye umri mdogo na wanawake ambao umri umeenda na bado wanahaha kutafuta maisha kwamba wafanye kazi kwa bidii, waache kubwabwaja mitandaoni kufatilia maisha ya watu na badala yake wautumie huo muda wauze hata pilipiii mbuzi watafika alipofika yeye.
@Nifah umepigaje hapo ?
 
Mi Wema labda wanilipe ndio nimle. Kachuja sana.
Isingekuwa orodha yake ndefu ya waliopiga, unaweza kujizima Siku Moja ukaenda kupiga

Kuna mdau mmoja alinambia ukihitaji yeyote niambie nikusogezee ila muhimu uwe na cash πŸ™Œ

Nikamwambia umri huu siwezi maana tumezeeka sana πŸ€—

Mtu amepigwa na Mapeshee ya tangu 2006, Kuna kupona hapo kweli πŸ™Œ
 
Kasema niffer kaoa na kamfungulia mumewe duka la simu na pia anadanganya watu kuwa ye supa wimen wakati ela ya mtaji kapewa na yahaya anaeishi south africa na adi leo yahaya akimtaka niffer anampata!
na sio yahaya tyuuh had Gre wa Zenji hapo anayefanya bizines Dubengaaa.

Kaka wa watu anajilia vya dezo, afu namuona km toleo jipyaa vilee.
 
Kina wema,uwoya walihongwa mbona hawajaendeleza Niffer ana akili

Nifah dar kaja kwa akili. Hajaja kizembe

Udsm ndio iliomleta dar. Zama hizi Ukiona mdada kasoma shule za kayumba toka msingi na bado anafaulu necta na kupata degree ya udsm. Ujue huyo mdada ana akili.

Niffer ni mmojawapo. Hao wengine wadada wa mjini kina wema na wengine wote waliojaa wameshindwa kufika udsm maana akili hawana
 
Mafanikio ni mafanikio.

Maisha yako ndio yataamua kufanikiwa kwako ni halali au haramu.

Mwisho wa siku mafanikio yana raha,kutusua kiuchumi ni raha, sababu umaskini unaumiza sana.

Lakini pia BAHATI inasehemu kubwa sana kwenye harakati zetu.

Omba BAHATI iwe upande wako mara nyingi iwezekanavyo.
Weweumesema
 
Back
Top Bottom