Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
Habari gani bhanaaa..
Natumai mu wazima wa afya..
Ninaomba ushauri wenu wa jambo gani natakiwa nifanye wakati nasubiria kwenda chuo..
Kwa sasa ninamalizia ka-contract kangu hapa jijini mwisho wa mwezi huu itakuwa mwisho. Ila natakiwa kwenda chuo (for masters) September katikati.
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi ya nifanye kitu gani wakati huu ninaosubiria kurudi shule?
maana siwezi kutafuta kazi kwa mwezi na nusu..nami sitaki kukaa tu nyumbani!
Hapa nilipopata contract wapo tayari kuniweka mpaka september ila kwa alllowance not mshahara anymore,
ila ndo hivyo hakutakuwa na kitu cha ku-utilize knowledge yangu anymore.
I am a computer science graduate, in Software Engineering.
Natanguliza shukrani...