Nifanyeje kwa kipindi hiki?

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,329
23,873
Habari gani bhanaaa..
Natumai mu wazima wa afya..
Ninaomba ushauri wenu wa jambo gani natakiwa nifanye wakati nasubiria kwenda chuo..
Kwa sasa ninamalizia ka-contract kangu hapa jijini mwisho wa mwezi huu itakuwa mwisho. Ila natakiwa kwenda chuo (for masters) September katikati.
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi ya nifanye kitu gani wakati huu ninaosubiria kurudi shule?
maana siwezi kutafuta kazi kwa mwezi na nusu..nami sitaki kukaa tu nyumbani!
Hapa nilipopata contract wapo tayari kuniweka mpaka september ila kwa alllowance not mshahara anymore,
ila ndo hivyo hakutakuwa na kitu cha ku-utilize knowledge yangu anymore.
I am a computer science graduate, in Software Engineering.
Natanguliza shukrani...
 
Mimi naona hapo kwenye red ndio bora kuliko kuanza kutafuta kazi kwa mwezi mmoja na nusu!! sidhani kama kwa Tz inawezekana, anyway subiri wadau wengine
 
kweli elimu yetu haijengi! Imagine mtu ni graduate wa Computer Engineer, hana chakufanya!

Rejao,
I din't exactly mean kukosa kazi ya kufanya. Namaanisha kitu cha kuniingizia kipato kwani kama ni kazi tu ya kunikeep busy ninazo nyingi.
Ila pia nimeleta hapa nipate mawazo mengine ya nyongeza labda muda huu unaweza kufanya kitu gani kingine cha ziada.
 
mi nilitaka kukushauri uhamie jf kabisaa ku-kill time, lol! kwani yale mashairi huwezi kuuza kwa password?

Haha..mashairi auze MM na Balerina, siye wengine wanafunzi tu!
Abt kuhamia JF, kuna procedures gani za kuomba umoderator!??
 
kweli elimu yetu haijengi! Imagine mtu ni graduate wa Computer Engineer, hana chakufanya!

computer engeneering ninayoijua mimi au ile ya mahardware ya udsm?? something fishy.. nilitegemea sasa hivi kusikia kuwa yupo more than busy kupractice b4 starting new level au ndio vile ukiingia class 1st 3 months bado unajifunza contents za module
 
Real computer science kaka...I have done one project already and its working now, ila ndo hivyo chance ya kusoma imekuja siwezi iacha ati kisa sijafanya experience ya kutosha...ama nimekosea mkuu!??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom