unavyohangaika hivyo i hope hao viongozi wa cdm kweli watawakumbukeni wakichukua nchi..msije mkalia na kusaga meno hapa baada ya 2015
ccm imeisha tusaga meno yote sababu tumeishalia kwa miaka hamsini, hivyo zamu yao inakuja ya kulia na kusaga meno. Ili iwe funzo kwa yoyote atakaye kuja kutawala wajitayalishe kupanda makarandinga , hii ni kurudisha na utamaduni wa uwajibikaji ambao umepotea kwa mtanzania.