Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

unavyohangaika hivyo i hope hao viongozi wa cdm kweli watawakumbukeni wakichukua nchi..msije mkalia na kusaga meno hapa baada ya 2015


ccm imeisha tusaga meno yote sababu tumeishalia kwa miaka hamsini, hivyo zamu yao inakuja ya kulia na kusaga meno. Ili iwe funzo kwa yoyote atakaye kuja kutawala wajitayalishe kupanda makarandinga , hii ni kurudisha na utamaduni wa uwajibikaji ambao umepotea kwa mtanzania.
 
ANDIKA SAA YA UKOMBOZI NI SASA.MKUTANO UKIIISHA TU TWENDENI MAGOGONI TUKAMFUMUSHE VASCO DAGAMA.
nadhani wengi watahamasika na immediently tunaanza kuikomboa nchi kutoka kwa mkoloni CCM
Mimi ndio maana siwakubali hawa watu kumbe kuna watu kchwani kwao kuna matope namana hii.
 
Andika bango lako maneno hayo.. Halafu katisha mitaa ya Tandika pale.. au Tandale pale.. au Manzese pale.. Utapata jibu kama CCM ni nambari wani au mafisadi nambari wani.. Wewe ufanye kama unapita tu.. Maana mnadhani maeneo hayo bado watanzania hawajaamka..
sosoliso nakuhakikishia kama hata restishwa in peace basi meno yake yote ya sebuleni ataayacha pale,watu wamechoka ile mbaya na magamba
 
Mawaziri walioachia ngazi wamewajibika kwa makosa yalitendwa na waliochini yao,kwanini wewe usiwajibike kwa makosa yaliyotendeka chini yako!!??
 
nafasi ya kazi anatafutwa mtu atakayeweza kuwa raisi kwa kukaa magogoni yaani ikulu kwa siku 100 kwa mwaka
 
kikwete haonekani atakayemuona aweke picha yake na yuko wapi maana tanzania honekani
 
mkuu hana haja ya kuandika bango ila atembee na tshirt iliyoandikwa hivyo!

Ha ha ha Mkuu Henge.. Ndio maana wamefuta chaguzi zao za wajumbe wa nyumba kumi kumi.. Wananchi wengi wamekataa kuhusishwa na CCM.. Hawataki hata kuicikia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom