Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

Andika , NAIPENDA CCM, NITASEMA UKWELI DAIMA UONGO KWANGU MWIKO ! CCM NAMBARI WANI ! JK NDIO RAIS BORA KABISA TANZANIA, ZIDISHA MAPINDUZI YA KILIMO NASISI TUPO NYUMA YAKO !
 
Andika , NAIPENDA CCM, NITASEMA UKWELI DAIMA UONGO KWANGU MWIKO ! CCM NAMBARI WANI ! JK NDIO RAIS BORA KABISA TANZANIA, ZIDISHA MAPINDUZI YA KILIMO NASISI TUPO NYUMA YAKO !

andika. NIHERI KUISHI NA MAAMBUKIZO YA VVU/UKIMWI KULIKO CCM.
 
Majibu ya matatizo yetu yako hapa hapa Tanzania, sio Marekani.

AU

Kikwete billioni moja kwa mwezi zinapatikana hapa hapa Tanzania, zuia rushwa.
 
Majibu ya matatizo yetu yako hapa hapa Tanzania, sio Marekani.

AU

Kikwete billioni moja kwa mwezi zinapatikana hapa hapa Tanzania, zuia rushwa.

Kikwete billioni moja kwa mwezi zinapatikana hapa hapa Tanzania, ACHA KULA rushwa, CCM tokeni madarakani mhamie mahakamani
 
Downlod lile sanamu la zuma linalomwonyesha akiwa MSHEDEDE uliosima nje ukate kichwa print kwenye A3,then andika mandishi makubwa:KWA HILI JK UNAWEZA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom