Ulimjibu vipi?
Ona pia wewe ulivyoandika:Kwel mhandisi unashindwa kuandika neno "interview" hata iyo smart phone yako imeshindwa kukurekebisha ni aibu. Au ndio ile ma engineer kwenu lugha sio ya muhim..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, kama wapo wenye tabia mimi sifahamu!Atakua mhandisi wa TANROADS huyu. Bure kabisa. They don't check twice. Ubunifu zero. Sijui wakipita Ubungo roundabout wanajisikiaje. Kazi ni kuchukua rushwa toka kwa wachina tu ili tujengewe substandard roads. Bure kabisa
Kwani mchoro unasemaje? Hicho ndio cha kufuata ili mradi uwe checked and approvedKwanza tuanze mimi ni civil engineer. Nilifanya intervew kwa wahindi nikaulizwe ikiwa client anataka ujenge hivi, na consultant anataka ujenge vile. Kama wewe ni contractor utafanyaje? Nilijibu nisinyamaze tu lakini kwa ukweli ilo suali lilikua sio la kawaida kwangu
Client sio mtaalam japo ndio mlipaji. Yeye anatakiwa kupewa effects zitakazotokea kutokana na ubadilishaji wa ujenzi. Consultant ndio wa kumfuata kwakuwa hata mchoro utakuwa umepitiwa na yeye.Ungewashauri utumbo wao kwa maana we ndo mtaalamu mwisho wa siku ningebase kwa client maana ye ndo muhitaji na mlipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimewahi kuulizwa mara 3 sehemu tofauti.
Nimeyapenda sana hayo maswali. Nayaona rahisi sijui ni vile sipo kwenye interview hahahaMimi ni mechanical engineer... Swali ambalo niliulizwa aisee... What difference btn hazard and danger ??? What difference between blower, compressor and fans and its uses in industry...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifanya interview moja ya Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Shirika moja kubwa la Umma hapa nchini - kwenye Presentation yangu nikasema nitahakikisha "Customer's grievances and complaints" vinafanyiwa kazi kwa haraka na kwa weledi wa hali ya juu...Wakuu habari za muda huu...
Katika harakati zako aa kutafuta kazi ni swali gani uliwahi kuulizwa katika interview/usahili likakutoa jasho au ukawa unajibu huku unajua kabisa kama unajibu upuuzi?
Vipi ushakutana na wale ambao wanauliza maswali ya kukomoa hadi ukahisi kabisa lengo lao sio kukuajiri? Funguka hapa
Sent using My phone
Go and check , check and check. Meticulous people check three times.n
Ndugu, kama wapo wenye tabia mimi sifahamu!
Mainjinia pale TANROADS HQ ninaowafahamu ni waadilifu kweli kweli.
Na mpaka Leo hujajulishwa?kuna interview moja niliwahi kuulizwa na
"swali la kizushiii"" una mke,girfriend au mchumba "nikajibu sina "
yule interviewer akaniambia basi chagua kati yetu sisi madada ni nani aliyekuvutia nikabaki napigwa na butaa wakati nikiwa natafakari nikaambiwa haya nenda tutakujulishaaa
dah hiii dunia kuna watu wangesee kweli na wazinguaji
Katika ujenzi mchoro unaweza kubadilika au kufanyiwa update kulingana na maelezo ya walio juu ya contractorKwani mchoro unasemaje? Hicho ndio cha kufuata ili mradi uwe checked and approved
Sent using Jamii Forums mobile app
Interview ya kampuni niliopo Sasa, hr alilazimisha nitaje figure. Nikataja figure zangu, akaniuliza Ulipotoka unalipwaje, nikamjibu. Likabwatuka sa huko unalipwa kidogo hivyo Nani atakupa hizi unazotaja?
Akikuuliza hili swali jibu something which sounds positive - for example waweza kusema :What are your weaknesses? Mm ili swali natetemaga kama mwizi kanipiga ngeta
'You can do anything but not everything'
KIOO LimitedKuna siku jamaa aliulizwa alipwe sh ngapi akasema million, interviewer akasema tutakupa milioni 2. Jamaa akasema acheni masihara. Interviewers wakamwambia wewe ndo umeanza masihara...( ilikuwa pale kiwanda cha vioo chang'ombe)
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Wajuvi wanashauri kuwa kabla ya kufanya interview ufanye utafiti Mdogo kufahamu watu wa nafasi unayoenda kufanya interview wanalipwa bei gani kwwnye kampuni unayoenda kufanya interviewSwali gumu, but nimejifunza inabidi uwe na value yako before hawajakuuliza ujue utawatajia ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi watu wa Marketing tunasema "Customer satisfaction" first, mengine badaeKwanza tuanze mimi ni civil engineer. Nilifanya intervew kwa wahindi nikaulizwe ikiwa client anataka ujenge hivi, na consultant anataka ujenge vile. Kama wewe ni contractor utafanyaje? Nilijibu nisinyamaze tu lakini kwa ukweli ilo suali lilikua sio la kawaida kwangu
Mantiki ya swali hili ni kujua kama wewe ni mtu honest na straightforward - so siku nyingine ukiulizwa don't beat around the bush, taja figure halisi ambayo unajua utakuwa comfortable nayo, kuwa straightforward!Menikiulizwa ilo hujibu hivi
Kila kampuni ina scale zake za salary ambazo inawalipa waajiriwa wake kulingana na elimu zao. Nami niko tayari kulipwa kutokana na scale yangu iliyopangwa ndani ya hii kampuni