mh!Nyimbo za singeli nazipenda ila siwezi kuzipiga popote nakutana nazo kwenye viwanja na ninaziinjoi haswa
Mbona nzuri tuNaringa..ya Zuchu kuna vile inanikoshaa ila siwezagi kuiskiliza zaidi ya kwenye earphones
Nyegezi - Rayvanny & Diamond.Kuna nyimbo unaweza kuta ni tamu ila shida ni huo ujumbe ndo inakuwa ngumu kusikiliza mbele ya watu,
Kwangu mm ni ule wimbo wa linah unaitwa fitina
Ni kweli ila huwa naona kama ina kaumipasho fulani hivi ila sound inanikosha sna..Mbona nzuri tu
beat imeenda shule nmeiskia leo uswahilini inapgwa kwenye msabufa uloenda shule aLooooh🔥🔥🔥🔥Nyegezi - Rayvanny & Diamond.
Pamoja na yote, ni bonge la ngoma..ile beat ya Blak (Black?) sio mchezo!!
Mtoto wa mtu (Nampenda)
Naupenda sana, ila ndio hivyo siwezi kuusikiliza mbele za watu, nikiwa mwenyewe ah sana tu.
Huohuo, kuna mtu nampenda yani naufeeeeel! 😆nisha jifia fia nisha mzimikia hata mwenyewe anajua atanitoa roho una maanisha huo au kuna mwingine
Huohuo, kuna mtu nampenda yani naufeeeeel!