Vijana Jazz Ya TANU Youth League Ilikuwa inajiita "Sex Batallion"

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,589
19,490
Kabla ya CCM kuzaliwa Chama cha TANU kilikuwa kinamiliki bendi kupitia twai lake la TANU Yough League ilijulika kama Vijana Jazz. Mwanzoni bendi ilianzishwa na John Ondoro Chacha mwaka 1971 ikiwa inaimba nyimbo za magitaa yaliyojulikana kama galatoni wakati huo. Wimbo Maarufu ulioachwa n John Ondoro ni ule iuliokuwa unaitwa salamu za wagonjwa uliorudiwa nadhani na mtoto au mjuuu wake hape

View: https://www.youtube.com/watch?v=QhXXQo6Z9Fg

Mwaka 1974 ilipata wanamuziki vijana kadhaa akiwema Hemedi Maneti na Hamza Kalala. Kipindio hivyo Vijana Jazz ikahama kutoka kwenye magalatoni na kuanza kutumia vyombo vya umeme kwa kutumia mtindo wa Koka Koka, na nyimbo mbili nizolizopenda wakati huo ni ule utambulisho wa wa mtindo wa Koka Koka uliojuliaka kama na mwengine uk"Niliruka Ukuta". Kipindi hicho walitoa nyimbo kadhaa ila mimi nilipenka ule wa Koka Koka, uliotoka katika awamu kadhaa

View: https://www.youtube.com/watch?v=ulAJkGEK4oU

Hata hivyo mwaka mwaka 1974/75 wimbo uliotamba nchi nzima Tanzania ulikuwa wa nilituka ukuta

View: https://www.youtube.com/watch?v=tCM8UchP7XA

na ule wa Kamata Sukuma

View: https://www.youtube.com/watch?v=MMELiFY0jxs

Zote zilikuwa katika mtindo huo wa Koka Koka na zilirekodiwa katik Santuri za Polydor. Ila jambo la ajabu funiuko la Santuri zao lilikuwa na nembo inayomsea Vijana Jazz "Sex Batallion" kwa maana ya "Kikosi cha Ngono." Wakati huo wanamuziki wote wa Vijana Jazz walikuwa wavulana ambao walikuwa hawajaoa. Je unadhani walikuwa na maana gani hasa ukiachia ngono? Ilitokea pia kuwa kipindi hicho mwanamuziki James Brown wa Marekani alikuwa na wimbo wake unaitwa "Sex Machine" yaani "Mashine ya Ngono.".

Maneti alifariki mwaka 1990 kwa kilichosemekana kuwa ni madhara ya ukimwi.
 
Kabla ya CCM kuzaliwa Chama cha TANU kilikuwa kinamiliki bendi kupitia twai lake la TANU Yough League ilijulika kama Vijana Jazz. Mwanzoni bendi ilianzishwa na John Ondoro Chacha mwaka 1971 ikiwa inaimba nyimbo za magitaa yaliyojulikana kama galatoni wakati huo. Wimbo Maarufu ulioachwa n John Ondoro ni ule iuliokuwa unaitwa salamu za wagonjwa uliorudiwa nadhani na mtoto au mjuuu wake hape

View: https://www.youtube.com/watch?v=QhXXQo6Z9Fg

Mwaka 1974 ilipata wanamuziki vijana kadhaa akiwema Hemedi Maneti na Hamza Kalala. Kipindio hivyo Vijana Jazz ikahama kutoka kwenye magalatoni na kuanza kutumia vyombo vya umeme kwa kutumia mtindo wa Koka Koka, na nyimbo mbili nizolizopenda wakati huo ni ule utambulisho wa wa mtindo wa Koka Koka uliojuliaka kama na mwengine uk"Nilituksa Ukutra" na U . Kipindi hicho walioa nyimbo kadhaa ila mimi nilipena ule wa Koka Koka, ulioktoaka katika awamu kadhaa

View: https://www.youtube.com/watch?v=ulAJkGEK4oU

Hata hivyo mwaka mwaka 1974/75 wimbo uliotamba nchi nzima Tanzania ulikuwa wa nilituka ukuta

View: https://www.youtube.com/watch?v=tCM8UchP7XA

na ule wa Kamata Sukuma

View: https://www.youtube.com/watch?v=MMELiFY0jxs

Zote zilikuwa katika mtindo huo wa Koka Koka na zilirekodiwa katik Santuri za Polydor. Ila jambo la ajabau funiuko la Sanaturi zao lilikuwa na nem,bo inayomsea Vijana Jazz "Sex Batallion" kwa maana ya "Kikosi cha Ngono." Wakati huo wanamuziki wote wa Vijana Jazz walikuwa wavulana ambao walikuwa hawajaoa. Je unadhani walikuwa na maana gani hasa ukiachia ngono? Ilitokea pia kuwa kipindi hicho mwanamuziki James Brown wa Marekani alikuwa na wimbo wake unaitwa "Sex Machine" yaani "Mashine ya Ngono.".

Maneti alifariki mwaka 1990 kwa kilichosemekana kuwa ni madhara ya ukimwi.

Maneti alikufa kwa Ukimwi? Mbona mkewe Kida Waziri alikanusha hili!
 
Maneti alikufa kwa Ukimwi? Mbona mkewe Kida Waziri alikanusha hili!
Hizo ndizo taarifa zilizozagaa mitaani wakati huo kwani aligua kwa muda mrefu na kukoknda sana. Mpaka leo kuwa watu wengi ambao wenzi wao walikufa kwa ukimwi lakini wao wenyewe hawakuambukizwa. UDSM kulikuwa na afisa mmoja pale Engineering aliyekufa kwa Ukimwi na ilijulikana kabisa lakini mke wake alikuwa hakuambukizwa, na mkewe huyo aliendelea kuishi masiha marefu sana zaidi ya miaka 10 ninayojua ingawa sasa hivi sijui yuko wapi
 
Back
Top Bottom