Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

Mtoto wa mtu (Nampenda)
Naupenda sana, ila ndio hivyo siwezi kuusikiliza mbele za watu, nikiwa mwenyewe ah sana tu.

nisha jifia fia nisha mzimikia hata mwenyewe anajua atanitoa roho una maanisha huo au kuna mwingine
 
Back
Top Bottom