Ni moderators gani humu JF unaowapenda au kuwachukia???

When it comes to moderators...... RussianRoulette is so mwaaaaaah to me!! Simaanishi kuwa wengine nawachukia.....la hasha, ila huyu nampenda sana!!

Kwa kuwa yupo social nadhani...

Vipi profile yake..amewahi kulambisha ban mara ngapi? (si watu) ,yaani red cards amewahi kuzitoa mara ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Mods ninaowapenda sana ni wawili: Invisible na Buchanan. Sababu za kuwapenda hawa wawili ni moja tu, nayo ni usharp wao wa kuijibu maswali haraka kuhusiana na lolote hapa JF. Uliza lolote eg kwa nini JF ina wapenzi wengi wa Chadema au kwa nini avatar ya Invisible ni nyeusi na mara moja utapata jibu ama kutoka kwa Invisible au Buchanan.Halafu wananipa impression kwamba wanapenda kazi yao. Congrats Inviii and Buchaaa. Hakuna Mod ninayemchukia kwa sbb sina sabb ya kuchukia. Ila nikiri kwamba siwajui baadhi ya Mods. Mods ninaowafahamu ni:
RR,X-paster, Fang, Paw, Painkiller, Rejao, Ni hao tu. Haloo Young Master,niongezee wengine nisiowafahamu!
 
RussianRoulette unamfahamu?
 
nampenda Cookie...
namchukia paw,alijifanya mjuaji na mbabe baadae akaja kugundua haifanyi kazi hio tactic yake.....sasa hivi watu wanakuwa banned ila sio kama enzi zake,kila siku lazima aondoke na mmoja jinsi alivyokuwa anapenda sifa
Nimeipenda hii.
Ila najua unawapenda sana wanaovunja sheria, kanuni na wanaotumia njia zao (not collectively) katika kutatua changamoto zao kijamii.

Tusihofiane, tupo pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom