Ni moderators gani humu JF unaowapenda au kuwachukia???

Yawezekana, ila mi nahisi ule mkwala wake wakujiita robot alafu anavotisha vile na macho yake......mweeeh!! LOL

Ha ha haaaa!!! Kumbe wewe ni mwoga eeee!!! Kuanzia sasa nitakuwa nakuja mjusi kila siku kukutishia kitandani.
 
People you are so nice! Kweli hii kazi ya moderation sio rahisi. Ukifanya kwa bidii unaonekana mnoko na ukiachia achia unaonekana mzembe. I really like ALL mods (and I mean all), zaidi mkuu X-PASTER ambae najaribu kumcopy kwa busara zake. Ila kwa ukaribu nipo karibu na Buchanan zaidi. Fang is nice ila sasa kingeraza chake kigumu na mimi cha kwangu ni cha kutafutisha. Mphamvu, Young Master, King Kong III and Kipipi, I love you too, you are my friends. :)
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa!!! Kumbe wewe ni mwoga eeee!!! Kuanzia sasa nitakuwa nakuja mjusi kila siku kukutishia kitandani.

Mijusi siogopi kivilee ila siwapendi, tafadhali usijejaribu kuniletea kitandani.....!! Btw, mie nina kauoga kiasi, ndo maana hata movie zenye kutisha tisha au sijui unakuta watu wana sura gani vile......hata zinitishe kidogo tu siangalii!
 
People you are so nice! Kweli hii kazi ya moderation sio rahisi. Ukifanya kwa bidii unaonekana mnoko na ukiachia achia unaonekana mzembe. I really like ALL mods (and I mean all), zaidi mkuu X-Paster ambae najaribu kumcopy kwa busara zake. Ila kwa ukaribu nipo karibu na Buchanan zaidi. Fang is nice ila sasa kingeraza chake kigumu na mimi cha kwangu ni cha kutafutisha. Mphamvu, Young Master, King Kong III and Kipipi, I love you too, you are my friends. :)

U will always be my closest friend RussianRoulette you will be in my heart to the very end. Thanks for being a part of me, we blended well.
 
Last edited by a moderator:
Mijusi siogopi kivilee ila siwapendi, tafadhali usijejaribu kuniletea kitandani.....!! Btw, mie nina kauoga kiasi, ndo maana hata movie zenye kutisha tisha au sijui unakuta watu wana sura gani vile......hata zinitishe kidogo tu siangalii!

Ha ha haaaa!!! Kumbeee, sasa kuanzia leo nitakuwa naleta movie za mavampire, wale jamaa wenye mijino inayoning'inia kama ngiri.
 
Mijusi siogopi kivilee ila siwapendi, tafadhali usijejaribu kuniletea kitandani.....!! Btw, mie nina kauoga kiasi, ndo maana hata movie zenye kutisha tisha au sijui unakuta watu wana sura gani vile......hata zinitishe kidogo tu siangalii!

Siwezi kukuletea kitandani mama maana najua wewe na usingizi ni kama matiti na sidiria. Kwani sijipendi mimi hadi nikuletee kitandani? Usije ukanikanumba bure.
 
Mijusi siogopi kivilee ila siwapendi, tafadhali usijejaribu kuniletea kitandani.....!! Btw, mie nina kauoga kiasi, ndo maana hata movie zenye kutisha tisha au sijui unakuta watu wana sura gani vile......hata zinitishe kidogo tu siangalii!
Kipipi bwana, mbona Mkuu doesn't bite? hayo macho ni avatar tuu. lol
 
Last edited by a moderator:
Hizo utaangalia mwenyewe kwakweli, kama sina cha kufanya ni bora nilale tu! Dah.....movie gani unaangalia huku unafumba macho bana!

Nilikuwa nakutania tu jamani basi nyamaza ee mtoto mzuri nitakupa lollipop tamu hiyo....Haya nyamaza nikupe lollipop.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom