Ni moderators gani humu JF unaowapenda au kuwachukia???

Nawapenda Fang (he's irresistable to like), RussianRoulette (who could ever hate this loving soul!).. Even Paw nampenda pia (huwa namfananisha na Sis ADi..dont know why!)
 
Last edited by a moderator:
nampenda Cookie...
namchukia paw,alijifanya mjuaji na mbabe baadae akaja kugundua haifanyi kazi hio tactic yake.....sasa hivi watu wanakuwa banned ila sio kama enzi zake,kila siku lazima aondoke na mmoja jinsi alivyokuwa anapenda sifa
 
Ha ha ha haaaa!!! Umeisikia hiyo PAW??? Nadhani ujumbe umeshakufikia.
 
Niambieni kwanza kati ya hawa mamodi wenu nani kampiga ban Lizzy ?
 
Last edited by a moderator:
mimi "moderator" wangu ni Mungu anaye-moderate mawazo yangu,anayenipa busara ya nini niandike na nikiandike kwa namna gani bila kuvunja taratibu husika za hapa!Glory to God!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom