Ni moderators gani humu JF unaowapenda au kuwachukia???

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Naam wana JF, katika maisha yetu ya kila siku huwa tunakumbana na mengi sana ambayo yanaweza kukufanya umpende au kumchukia mtu flani kwa sababu amekutendea hiki au kile na wakati mwingine hutokea tu naturally kwamba umemchukia au kumpenda mtu flani.

Lakini leo sitaki kuingilia katika maisha ya watu, leo nataka tuongelee zaidi kuhusu watu ambao tupo nao humu jamvini na ningependa kuongelea zaidi kuhusu hawa moderators wetu. Je ni moderator gani unayempenda na ni moderator gani unayemchukia na ni kwa sababu gani unamchukia? Kwa upande wangu mimi nawapenda zaidi RussianRoulette Invisible na X-Paster a.k.a The punishment of God na nina sababu zangu ambazo zinanifanya niwapende ambazo nitakuja kuzielezea hapo baadae kidogo na sina moderator yoyote ninayemchukia.
 
In love with RussianRoulette.
Popote ulipo mama <kiss kiss>:A S-heart-2:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom