issa mhina
Member
- Aug 3, 2015
- 32
- 0
jaman humu jukwwan kuna mtu kachaguliw kcmc
uliapply NTA level gani?!maana AMO ni kwa CO's ambao wanakwenda ku update, je we ni mmoja wapo au we ni kwa kutumia matokeo ya form four?!WAKUU,aliyechaguliwa AMO tujulishane basi Nitupie namba 2peane mainfo
jaman humu jukwwan kuna mtu kachaguliw kcmc
uliapply NTA level gani?!maana AMO ni kwa CO's ambao wanakwenda ku update, je we ni mmoja wapo au we ni kwa kutumia matokeo ya form four?!
Oi Oi karibu KCMC chuo chetu
wakuu kuna mtu ambae kwenye profile yake capacity ilikua zero na amepata nafasi? samahan naomba mnijibu please
thnx uko koz gan mkuu
kwa anaekjua songea cotc au aliyechaguliwa tupeane taarifa wakuu
mm Nmepangiwa huko mkuu
ni PM tupeane mainformation mkuu
Haya wadau njooni 2pange ye2