Ni kweli mkopo kwa wanaosoma vyuo vya kati kwa sasa unatolewa?

Cr wa familia

JF-Expert Member
Jun 18, 2023
1,063
1,405
Habari ndugu zangu wana JF, natumai mnaendelea vizuri

Kama kichwa kinavyojielezea hivi ni kweli kwamba kwa sasa serikali inatoa mkopo kwa wanaosoma elimu ya vyuo vya kati (CERTIFICATES & DIPLOMA) kama inavyosemekana au ni maneno tu na kama wanatoa wanatoa kwa kila anaeomba au kuna baadhi ya course ndo zinapewa? Naombeni mnijuze wakuu kwa anaejua haya mambo yalivyo.

Naomba kuwasilisha
 
Sio mwaka hu wa kifedha mpaka mwaka kesho wa kifedha.
 
Samahani, kama haitakuwa shida au usumbufu ninaomba chanzo halisi cha taarifa hii. Hizi habari zimetapakaa sana kwenye mitandao lakini hakuna chanzo sahihi cha habari.
 
Back
Top Bottom