Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

Status
Not open for further replies.
mkuu mwanamnyoro mi nimeapply kupitia nacte na deadline ilikuwa ni tar 18/7/2015 ila hata hivyo vipo vyuo vya private kama city college,kam college,lugalo medical college nk ...Kila la kheri mkuu
 
Deadline ni tarehe 02/08/2015,hii ni baada ya ile ya kwanza ya 18/07/2015,fursa ya kutuma maombi bado ipo wazi mpaka tarehe husika.
 
mwananyoro fanya application nacte za huyo dada wa kazi mda umeongezwa mpaka tar 2/8/2015 naamini atapata tu kama atakuwa amekidhi vigezo
 
Naomba kuuliza nina ndugu yangu ana physc d chem c bios b div two na amemaliza 2013 anatak kozi za afya vyuo vya gvt wapi kweny uhakika wa kupata vyuo vya gvt diploma au certifcat kwa maksi zake msaada wenu wana jf
 
ingia haraka website ya nacte.. utaona vyuo vyote utachagua mwenyewe,,
mwisho ni tarehe 2/8/2015, ... usichague vyuo dar es salaam,mwanza,mbeya maana humo kwenye majiji yawezekana nafasi zimejaa maana watu wengi wanapenda huko..
 
Naomba kuuliza nina ndugu yangu ana physc d chem c bios b div two na amemaliza 2013 anatak kozi za afya vyuo vya gvt wapi kweny uhakika wa kupata vyuo vya gvt diploma au certifcat kwa maksi zake msaada wenu wana jf
 
Naomba kuuliza nina ndugu yangu ana physc d chem c bios b div two na amemaliza 2013 anatak kozi za afya vyuo vya gvt wapi kweny uhakika wa kupata vyuo vya gvt diploma au certifcat kwa maksi zake msaada wenu wana jf

,kwa diploma C ya chem na biology na D ya phy.....Kwa vigezo hivi huyo ndugu yetu anakidhi certificate ....Je unahitaji asomee clinical medicine,nursing,health record,pharmacy,dental surgery au ipi mkuu
 
mkuu samahani nlikosea kusema kuwa huyo ndugu anakidhi kwa certificate ..Huyo ndugu yetu ni diploma coz ana chemC biosB phyD...fanya haraka mkuu apply nacte deadline ni 02/8/2015
 
ostadhi juma yani deadline iwe august na matokeo pia yawe august?

inawezekana mkuu kwa kuwa wanatumia application za computer ambazo wanaziseti kwa kutoa wanachohitaji yani wenye vigezo na kuondoa wasichohitaji yani wasio na vigezo
 
jamani naomba kufahamu nli aply vyuo vya afya kupitia CAS kwakuwa nlikuwa sina mpango wa kwenda advansi ila hawakunipanga advansi wakanichagua chuo UDOM chuo. sasa kuna mtu aliniambia kuwa kama wameshanichagua UDOM chuo.vile vya afya nlivyo aply hawatanichagua tena kwaku ni vya serikali je kunaukweli juu ya hilo wana JF
 
nenda tu uticha kaka...kwani ulikuwa ushachaguliwa so kuchaguliwa tena ni issue kaka..kapige buku udom
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom