ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,020
- 1,968
- Thread starter
- #3,201
kuna jamaa mmoja alipangiwa st joseph na nacte alivyoona kampala INTERNATIONAL university basi akiri zikamrukaa. akahisi labda akisoma pale atasoma mtaala sawa na mwanafunzi anaesoma marekani kisa kaona INTERNATIONAL matokeo yake sa hv anajuta anasema bora hata angeenda zake st joseph but now kafanya tena application nacte kapangiwa lugalo medical college