Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

Status
Not open for further replies.
ivi kwa mfano mtu asoma dploma ya uwalimu baadaye anataka abadilishe asome udactari digree anatakiwa afanyeje?
 
samahani na mm jamani kwa anaye kijua vizuri chuo cha uuguzi bagamoyo kuwa ni cha serikali au private na ada yake kwa mwaka ni sh.ngapi ??
 
Vipi kuhusu waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano huku wameomba vyuo vya afya kupitia nacte, je watachaguliwa au wanaachwa kwa sababu wameshapangiwa shule?
 
Naomba msaada mtu akisoma certificate mfano clinical officer..akitaka soma diploma ataisoma muda gani akitokea certificate??
 
Shukrani Mr ustadhijuma.

ila ukipata nafasi ya kusoma certificate then ukiwa na relation nzuri na walimu wa chuo wanakufanyia mpango unaunganishwa na diploma kwa mwaka mmoja kwa hiyo utasoma certificate na diploma kwa miaka mi3 tu
 
Jaman mi naomba kuuliza hivi mtu anaweza kuwa na div 2 (merit). Akaomba diploma clncal ofsa akakosa??? Msaada jaman
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom