Umeme usipite kwa nini???
Umeme ushapita, project ile ilishakwisha!!!
Hapo kwenye Red, Nyaya zimepita juu ya kanisa?? ushaziona wewe? mbona Kakobe haikuifikisha Tanesco mahakamani kulipa fidia ya yale mabango yaliyong'olewa?
Illogical!!
Sisi tuko MITAMBONI... Kwa taarifa ya uhakika ni Kwamba Umeme wa 132KV (sio 180KV wala 33KV) HAUPITI KUVUKA KANISA la Kakobe. Umeme unashia pale nguzo ya Kabla ya Hospitali ya Katoliki karibu na Round About ya Mlimani City. Mpaka sasa mafundi wajapata solution. Habari ni kwamba ukifika kwenye Nguzo ile unapungua kuliko hiyo 33KV mnayosema.
Kingine ni kwamba ile ni INTERNATIONAL (INTER-COUNTRIES) PROJECT haiwezi kuisha kimya kimya hata kidogo, lazima Rais au Waziri husika angefungua rasmi, vilevile ile ni project kubwa sana lazima Rais wetu angejizolea masifa pale kama ingekuwa tayari.
Use your brains.