NGELEJA ulilolianzinsha na KAKOBE ndo unalimalizia sasa

matatizo ya umeme tz yanatokana na uwezo mdogo kiuongozi wa rais na waziri wa nishati hawa wanatakiwa kuondolewa ndipo mambo yatakwenda vizuri. Tuache kuchagua watu bila umakaini!
 
ulivyomlaghai kakobe ukasubiri amepanda madhabahuni ukawaita waandishi na kuwapa bahasha ndo linalokutokea puani. sasa wanajamii humu ni hivi waya za umeme zimepita pale kwa kakobe lakini umeme umegoma. si mna data wakuu chunguzeni kwa nini mradi wa umeme kijitonyama umekufa. ngeleja fanya maamuzi magumu na unayajua ni nini unatakiwa kufanya. wachangiaji wekeni hoja sio ubishi.
Hivi ule umeme uliopita kwa kakobe hauwaki sio??
 
265017_187597871293812_100001308023210_451667_2686381_n.jpg
 
Mambo mengine bana!!!
Yani unakkuja hapa kutuambia Mungu wa Kakobe ni katili sana, amesababisha Mgao wa Umeme? zile 33kVA ndo zimesababisha umeme ukosekane Tz?

Unataka kutuambia Mungu wa Kakobe hana jema? hawezi kuombea nchi hii ipate mvua zinyeeshe kwa wingi na watu wapate chakula na mabwawa yajae ili umeme upatikane?

Unatuambia Mungu wa Kakobe ni Mungu wa visasi na chuki, Mungu wa ghiliba na hasira??? huyu ndo mungu wa kakobe?
Mungu asiyesamehe? Yesu aliyesema ukipigwa kofi shavu moja geuza na la pili sio Yesu wa Kakobe? yeye ana Yesu wake?

Huyo Mungu wenu huyo anahitaji kuombewa yeye sasa!!!

CRAP!!
#

Mungu wa kweli ana wivu. Sodoma na Ghomora ilikuwa ni ukatili?? au vipi kuhusu gharika la nuhu na kusulubiwa kwa Bwana Jesus?? ila signature yako iko bomba sana.
 
Ndugu yangu imeandikwa.MPUMBAVU HUJISEMEA MOYONI. Hakuna MUNGU!unadhani pale kwa kakobe kungekuwa kwa
yule marehemu shehe wangethubutu kupitisha ? Maana kwao alikuwa mungu wao.!AMELAANIWA YEYE AMTEGEMEAYE MWANADAMU.
Inakujaje tena ya shehe na uungu mbona unatoka ktk mada
 
Bandugu msidanganyane, mtakuja kufa. Aliyewaambia umene haupiti kwa Kakobe ni nani?. Kuna umeme mkubwa tu pale. Na project ilienda kama ilivyopangwa.Asiyeamini na akapande kisha ashike waya wa LIVE kule Mwenge ambapo ni mbele ya eneo ka Kakobe. Ataona nyota na mwezi ambao uneandama hata kama ni mchana!.
 
Gharika ya NUHU ililetwa na wewe

BABA Kakobe alisema wazi kuwa yeye ni mtu wa Mungu wakitubu watasamehewa na umeme utapita, ila wasipotubu watahangaika wakome,
walifikiri wanashindana na mwanadamu kumbe walikuwa wanashindana na Mungu mwenyewe,
kama wakati wa Eliya , Eliya akasema mvua haitanyesha juu ya nchi kwasababu mfalme alikuwa jeuri hakutaka kusikia maagizo ya Mungu, ndicho kinachotokea hivi sasa,
Hatimaye jambo hili litajulikana kwa watanzania wote,
Tubuni basi mrejee ili zije nyakati za kuburudishwa,. Mungu ni mwingi wa rehema tukimwendea kwa Toba lakini tukifanya kiburi na dharau Mungu anasema naye atatufanya si kitu. "anayeniheshimu nitamheshimu anayenidharau nami ntamfanya kuwa si kitu" The only best and effective solution is to apologize.
 
Hivi kakobe si ndo yule mchungaji mwenye midomo yenye utando mweupe ama?
 
Kakobe aeleze kwanza mapato na matumizi ya fedha kanisani kwake

Ndugu yangu lile ni kanisa sio kampuni. Taarifa ya mapato na matumizi unaipata kanisani sio gazetini. Tujenge utamaduni wa kuheshimu imani za wengine.
 
Matengenezo yanaendelea Leo pale kwenye nguzo 19 kwa Kakobe Wajapani wanalalamika!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom