NGELEJA ulilolianzinsha na KAKOBE ndo unalimalizia sasa

Umeme usipite kwa nini???
Umeme ushapita, project ile ilishakwisha!!!

Hapo kwenye Red, Nyaya zimepita juu ya kanisa?? ushaziona wewe? mbona Kakobe haikuifikisha Tanesco mahakamani kulipa fidia ya yale mabango yaliyong'olewa?
Illogical!!

Sisi tuko MITAMBONI... Kwa taarifa ya uhakika ni Kwamba Umeme wa 132KV (sio 180KV wala 33KV) HAUPITI KUVUKA KANISA la Kakobe. Umeme unashia pale nguzo ya Kabla ya Hospitali ya Katoliki karibu na Round About ya Mlimani City. Mpaka sasa mafundi wajapata solution. Habari ni kwamba ukifika kwenye Nguzo ile unapungua kuliko hiyo 33KV mnayosema.

Kingine ni kwamba ile ni INTERNATIONAL (INTER-COUNTRIES) PROJECT haiwezi kuisha kimya kimya hata kidogo, lazima Rais au Waziri husika angefungua rasmi, vilevile ile ni project kubwa sana lazima Rais wetu angejizolea masifa pale kama ingekuwa tayari.

Use your brains.
 
kinachonifurahisha humu jamvini ikitokea habari ya kumkandia Kakobe watu wako very sensitive kuchangia na kusuport uzushi ila mada ya kumsifu au jambo zuri linalomuhusu raia wako kimyaaaa haya ndio jamvi hili tutafika tu
 
sure! hapa ndo utakapojua wangapi mjungu wangapi wana data. cheki m2 kama maralia sugu. anazani kila ki2 cha kupayuka. kuna sehemu zingine if you dont hv data just shut up. ukinyamanza hutakuwa mpumbavuu
 
Mambo mengine bana!!!
Yani unakkuja hapa kutuambia Mungu wa Kakobe ni katili sana, amesababisha Mgao wa Umeme? zile 33kVA ndo zimesababisha umeme ukosekane Tz?

Unataka kutuambia Mungu wa Kakobe hana jema? hawezi kuombea nchi hii ipate mvua zinyeeshe kwa wingi na watu wapate chakula na mabwawa yajae ili umeme upatikane?

Unatuambia Mungu wa Kakobe ni Mungu wa visasi na chuki, Mungu wa ghiliba na hasira??? huyu ndo mungu wa kakobe?
Mungu asiyesamehe? Yesu aliyesema ukipigwa kofi shavu moja geuza na la pili sio Yesu wa Kakobe? yeye ana Yesu wake?

Huyo Mungu wenu huyo anahitaji kuombewa yeye sasa!!!

CRAP!!
Gharika ya NUHU ililetwa na wewe
 
kinachonifurahisha humu jamvini ikitokea habari ya kumkandia Kakobe watu wako very sensitive kuchangia na kusuport uzushi ila mada ya kumsifu au jambo zuri linalomuhusu raia wako kimyaaaa haya ndio jamvi hili tutafika tu

Usipende kulalamika kila mara, kwa kuwa wewe uko karibu na Kakobe ni vizuri ukathibitisha ama kukanusha kama umeme unapita ama haupiti kama huyu mwenzako;
Sisi tuko MITAMBONI... Kwa taarifa ya uhakika ni Kwamba Umeme wa 132KV (sio 180KV wala 33KV) HAUPITI KUVUKA KANISA la Kakobe. Umeme unashia pale nguzo ya Kabla ya Hospitali ya Katoliki karibu na Round About ya Mlimani City. Mpaka sasa mafundi wajapata solution. Habari ni kwamba ukifika kwenye Nguzo ile unapungua kuliko hiyo 33KV mnayosema.

Kingine ni kwamba ile ni INTERNATIONAL (INTER-COUNTRIES) PROJECT haiwezi kuisha kimya kimya hata kidogo, lazima Rais au Waziri husika angefungua rasmi, vilevile ile ni project kubwa sana lazima Rais wetu angejizolea masifa pale kama ingekuwa tayari.

Use your brains.

Kuzinduliwa na rais ama waziri sio kigezo, inawezekana project haijakamilika. Tunachotaka kufahamu hapa ni uthibitisho kama umeme unapita ama haupiti?? haya mengine ya uzinduzi sio uthibitisho!!
 
kuhusu uzinduzi taarifa za ndani ni kuwa mpango wa ngereja alitaka mamlaka zote zitoe mchango kwa nguvu zote ili mradi ukamilike kabla ya uchaguzi wa mwaka jana ili itumike kwenye kampeni. lakini likashindikana kutokana kutokamilika kwa mradi.
 
umeme haupiti, ndio maana Rais Kikwete ameshindwa kuzindua, Kikwete kazindua miradi yote ,lakini hajazindua mradi huo, angalia loop ktk nguzo
 
TANESCO WALITANGAZA WENYEWE KUWA WENGEFUNGUA MRADI HUO OCTOBA 2010. Lakini ghafla kulitokea mlipuko kwenye ngu ngu
 
PIA KUNA MTU ALITAKA KUJIUA ALIPANDA KWENYE NGUZO NA 3 AKAKALIA ZILE NYAYA ILI AFE LAKINI UMEME HAUKUWEPO!! Polis walimukamata
 
NGELEJA AMEPATA LAANA !AONDOLEWE HARAKA! Ameanza kuhonga wabunge ,budgeti yake itakwama!
 
Laana ya kupitisha umeme kanisa ya kakobe kama ni ya kweli imtafune vizuri ngeleja hadi ajiuzulu kwani tumemchoka. Wauza barafu, vinyoz sasa tabu aupu
 
Labda kuna mgongano wa kimaslah kwenye sadaka????
Afadhali umesaidia kutuweka huru, manake watu walishaanza kutudanganya kwamba umeme haukatizi kwa kakobe.Hivi ugomvi wa Kakobe na Wizara ilikuwa nini kama si nyaya/nguzo kupita juu ya ukuta wa kanisa??
 
Sidhani kama ndio concept aliyojaribu kueleza hapa, jaribu kuisoma tena kama hutajali
Mambo mengine bana!!!
Yani unakkuja hapa kutuambia Mungu wa Kakobe ni katili sana, amesababisha Mgao wa Umeme? zile 33kVA ndo zimesababisha umeme ukosekane Tz?

Unataka kutuambia Mungu wa Kakobe hana jema? hawezi kuombea nchi hii ipate mvua zinyeeshe kwa wingi na watu wapate chakula na mabwawa yajae ili umeme upatikane?

Unatuambia Mungu wa Kakobe ni Mungu wa visasi na chuki, Mungu wa ghiliba na hasira??? huyu ndo mungu wa kakobe?
Mungu asiyesamehe? Yesu aliyesema ukipigwa kofi shavu moja geuza na la pili sio Yesu wa Kakobe? yeye ana Yesu wake?

Huyo Mungu wenu huyo anahitaji kuombewa yeye sasa!!!

CRAP!!
 
Hizi fikra za karne ya pili zafaa kukomeshwa na kizazi hiki.
Mnatafuta proof wakati mwaweza kutumia mikono yenu kushika nyaya ili kujua kama umeme unapita au la!!!!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom