NGELEJA ulilolianzinsha na KAKOBE ndo unalimalizia sasa

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
194
ulivyomlaghai kakobe ukasubiri amepanda madhabahuni ukawaita waandishi na kuwapa bahasha ndo linalokutokea puani. sasa wanajamii humu ni hivi waya za umeme zimepita pale kwa kakobe lakini umeme umegoma. si mna data wakuu chunguzeni kwa nini mradi wa umeme kijitonyama umekufa. ngeleja fanya maamuzi magumu na unayajua ni nini unatakiwa kufanya. wachangiaji wekeni hoja sio ubishi.
 
Ndugu yangu imeandikwa.MPUMBAVU HUJISEMEA MOYONI. Hakuna MUNGU!unadhani pale kwa kakobe kungekuwa kwa yule marehemu shehe wangethubutu kupitisha ? Maana kwao alikuwa mungu wao.!AMELAANIWA YEYE AMTEGEMEAYE MWANADAMU.
 
Kwani mradi wa umeme wa ubungo-kijitonyama umeishia wapi????haujakamilika????
 
ulivyomlaghai kakobe ukasubiri amepanda madhabahuni ukawaita waandishi na kuwapa bahasha ndo linalokutokea puani. sasa wanajamii humu ni hivi waya za umeme zimepita pale kwa kakobe lakini umeme umegoma. si mna data wakuu chunguzeni kwa nini mradi wa umeme kijitonyama umekufa. ngeleja fanya maamuzi magumu na unayajua ni nini unatakiwa kufanya. wachangiaji wekeni hoja sio ubishi.

Kama hiyo ni kweli basi ngeleja haponi safari hii na huu mgao wa giza.

Manake Kakobe alimtahadharisha kwamba nyaya zitapita lakini umeme hautapita tukadhani maneno ya mkosaji.

Ila ngeleja anaweza kufanya kitu kimoja tu kujinusuru na mgao wa giza, afanye kama tanroads iringa walivyofanya makaburi ya kiyeyeu!!
 
Hivi ni kweli umeme haupiti pale?

Nijuavyo mimi ni: mradi ule ulitakiwa kupita umeme wa mkondo 180kv lakini ktk hali isiyo na maelezo ya kina, umepita umeme wa 33kv sasa haya niyasikiayo leo yanahitaji ushaidi zaidi.
 
Kumbe wote tunasubiri majibu!!!!!
Hivi ni kweli umeme haupiti pale?Nijuavyo mimi ni: mradi ule ulitakiwa kupita umeme wa mkondo 180kv lakini ktk hali isiyo na maelezo ya kina, umepita umeme wa 33kv sasa haya niyasikiayo leo yanahitaji ushaidi zaidi.
 
Maana ule mradi sijaskia umeishaje,NSIANDE NJOO BANAAAAA
Nadhani mhandisi Nsiande atakuwa na majibu sahihi juu ya umeme kupita ma kutopita,Nsiande hebu kuja haraka huku ututhibitishie kama mkwara wa Kakobe ulikuwa wa ukweli ama wa "kichina"
 
ulivyomlaghai kakobe ukasubiri amepanda madhabahuni ukawaita waandishi na kuwapa bahasha ndo linalokutokea puani. sasa wanajamii humu ni hivi waya za umeme zimepita pale kwa kakobe lakini umeme umegoma. si mna data wakuu chunguzeni kwa nini mradi wa umeme kijitonyama umekufa. ngeleja fanya maamuzi magumu na unayajua ni nini unatakiwa kufanya. wachangiaji wekeni hoja sio ubishi.
Mambo mengine bana!!!
Yani unakkuja hapa kutuambia Mungu wa Kakobe ni katili sana, amesababisha Mgao wa Umeme? zile 33kVA ndo zimesababisha umeme ukosekane Tz?

Unataka kutuambia Mungu wa Kakobe hana jema? hawezi kuombea nchi hii ipate mvua zinyeeshe kwa wingi na watu wapate chakula na mabwawa yajae ili umeme upatikane?

Unatuambia Mungu wa Kakobe ni Mungu wa visasi na chuki, Mungu wa ghiliba na hasira??? huyu ndo mungu wa kakobe?
Mungu asiyesamehe? Yesu aliyesema ukipigwa kofi shavu moja geuza na la pili sio Yesu wa Kakobe? yeye ana Yesu wake?

Huyo Mungu wenu huyo anahitaji kuombewa yeye sasa!!!

CRAP!!
 
Hasira za nini sasa wakati yeye ametufahamisha na kutukumbusha janja ya ngeleja enzi hizo za mgogoro wa nguzo kupita juu ya kanisa.

Labda muhimu utusaidie kufahamu kama kweli umeme hauvuki kwa kakobe ama unavuka??
 
umeme unapita bwana achane kutuletea za kuleta hapa. kakobe ni mtu wa kawaida tu mbona mnamtetemekea sana?
 
eeeeeeeh mna uhakika umeme haupiti pale? hamna maajabu ya hivyo bana
 
Hasira za nini sasa wakati yeye ametufahamisha na kutukumbusha janja ya ngeleja enzi hizo za mgogoro wa nguzo kupita juu ya kanisa.

Labda muhimu utusaidie kufahamu kama kweli umeme hauvuki kwa kakobe ama unavuka??

Umeme usipite kwa nini???
Umeme ushapita, project ile ilishakwisha!!!

Hapo kwenye Red, Nyaya zimepita juu ya kanisa?? ushaziona wewe? mbona Kakobe haikuifikisha Tanesco mahakamani kulipa fidia ya yale mabango yaliyong'olewa?
Illogical!!
 
Afadhali umesaidia kutuweka huru, manake watu walishaanza kutudanganya kwamba umeme haukatizi kwa kakobe.

Hivi ugomvi wa Kakobe na Wizara ilikuwa nini kama si nyaya/nguzo kupita juu ya ukuta wa kanisa??
 
Umeme usipite kwa nini???Umeme ushapita, project ile ilishakwisha!!!Hapo kwenye Red, Nyaya zimepita juu ya kanisa?? ushaziona wewe? mbona Kakobe haikuifikisha Tanesco mahakamani kulipa fidia ya yale mabango yaliyong'olewa?Illogical!!
Hebu tuwekane sawa! Umeme umepita au haujapita? Je umepita ktk kiwango kilekile cha 180kva? Kama haujafikia 180kva kwanini?Kuna uhusiano gani na kauli ya (kiroho) ya kakobe na maelezo ya awali ya Tanesco kuwa wameamua kuingiza 33kva kwanza?Je kauli ya kiroho ya kakobe yaweza kuhusishwa na mgao unaoliandama taifa hili linalotajwa kuwa changa ili hali linavijukuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom