Mfanyakazi wangu wa ndani namlipa 70 naenda kumpunguza sasa mmewachomea wabaa wanalipwa 180 nao sasa tutawapunguzia
 
kila taasisi ina scale zake mkuu, hakuna scale general kwa taasisi zote za umma.
mfano kuna scales kama TGS, PHTS, PUTS, PTSS, PGSS, PRSS na itakua tofauti kutegemea na taasisi husika.
mfano PRSS 3 = NIP 15, scale ya PRSS inatumiwa kwenye taasisi za umma kama NATIONAL INSTITUTE FOR PRODUCTIVITY (NIP), TAEC etc.

sasa kwa swali lako hii scale kwa mujibu wa tume ya ajira inatumiwa na TANROADS, ni entry level ya Civil Engineer grade II, ni kama 1.5M basic salary.
Nisaidie hii PRSS 1 ni shingapi? Ipo kwenye salary scale ya TANZANIA WILDLIFE RESEARCH INSTITUTE
 
Back
Top Bottom