News Alert: Wameru wapanga mawe barabara ya Moshi Arusha sasa hivi

Mkipewa hayo mashamba mtaweza kuyalima?

Wachaga wachache wanashinikiza ili wayamiliki wao hayo mashamba, ogopa sana wachaga wana mbinu chafu sana. Nawaonea hurua wameru kwa kutokuliona hilo.
 
Tukiacha CDM iendeleze hali hii ya vurugu, TZ itakuwa kama Zimbabwe
 
Wameru waachane polisi nyie tulieni majumbani mwenu mnakumbuka yale mauaji ya Mwaka jana hapo Arusha? Hivi mnafahamu kwamba wale Polisi walio lenga shabaha Arusha na Nyamongo walizawadiwa?

Acha kuwafundisha watu woga wanapodai haki zao, haingii akilini wageni kumiliki arfhi wakati wenyeji hawana hata mahali pa kulima chakula chao, hatukubali ukoloni!
 
The time has come for our leaders to shape their thinking, perceptions and motives., they have to understand that being a leader means you are a servant.. You are there to serve the citizens (members of public. The point of citizens crying and the leaders are doing nothing, enriching themselves.. Is scary, n I dont know where this country is actually going

Remember me.,
 
Last edited by a moderator:
Historia ya meru na ardhi ni mbaya na yab muda mrefu; historia n kwamba ardhi meru imemwaga damu ya watu wengi na hasa wazungu, wengine walizikwa wakiwa hai enzi za ukoloni na kisha kufukuliwa na kisha kutahiriwa! Serikali iliangalie hili la ardhi ni jambo gumu sana na kamwe wameru na ardhi hawatatulizwa na chochote zaidi ya kurudishiwa ardhi yao!
 
Mkipewa hayo mashamba mtaweza kuyalima?

Wachaga wachache wanashinikiza ili wayamiliki wao hayo mashamba, ogopa sana wachaga wana mbinu chafu sana. Nawaonea hurua wameru kwa kutokuliona hilo.

Mkuu hapa hapakua pori kulikua na mazao ya kutosha sana tu.....
 
Nipitie hapa ngulelo...nimesha jikoki...napaga jaramba

Bila shaka yatakuwa yale mashamba ya kwa singa hapo kuanzia Shangarai mpaka Chama, nipitieni hapa "kwa mrefu" na mie nikajipatie kilaka cha ardhi kiulainiiiii!
 
kama serikali yetu inalala usingizi wa pono zen wananchi lazima wachukue hatua otherwise hii serikali ya ccm itauza kila kitu na kutuachia mashimo
 
Haya tena. Mbona makovu ya Tandahimba hayaja nyauka bado.kwa mwenye ufahamu hizi ni dalili mbaya za kutopuuzwa
 
Back
Top Bottom