News Alert: Wameru wapanga mawe barabara ya Moshi Arusha sasa hivi

Inasemekana serikali imechukua shamba la wameru kwa nguvu na wameamua kufunga barabara ya Moshi Arusha sasa hivi na askari wa kutuliza ghasia ndio wamefika eneo la tukio na wameanza kurusha mabomu!

magamba wanasahau nguvu ya umma "mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni"
 
Tukiacha CDM iendeleze hali hii ya vurugu, TZ itakuwa kama Zimbabwe

CDM ndio itaendeleza au ni ccm ndiyo inayoendeleza? Mikataba ya kuchukua hayo mashamba iliwekwa na CDM? Hizo vurugu ni matokeo ya wizi na ufisadi mwingine unaofanywa na nyie magamba. Watu sasa wamewachoka na wanadai haki zao.

Btw: Msipotilia maanani ushauri wa bure mliopewa na mjumbe mmoja humu ukumbini (wa kuboresha mazingira ya magereza) itakula kwenu mazima. Makao ya wengi wenu magamba baada ya 2015 yatakuwa ni Kisongo, Keko, Ukonga, Uyui, Isanga n.k.
 
siku zote amani ya kujivunia kama taifa ni ile ya ASILI na siyo ya KUTENGENEZA
 
Back
Top Bottom