News Alert: Wameru wapanga mawe barabara ya Moshi Arusha sasa hivi

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,337
Inasemekana serikali imechukua shamba la wameru kwa nguvu na wameamua kufunga barabara ya Moshi Arusha sasa hivi na askari wa kutuliza ghasia ndio wamefika eneo la tukio na wameanza kurusha mabomu!
 
SERIKALI INATEGEMEA uwezo wa MABAVU .
wANADHARAU UWEZO WALIO NAO WANANCHI!
Wanadhani hata wakiwalazimisha wananchi kuondoka, huyo mwenye shamba atakuwa na amani?
 
Mashamba yapi hayo coz yapo mengi yenye migogoro..........na Je ule mkutano wa Mkuu wa mkoa na wananchi wa kijiji cha kitefu kuhusu mgogoro wa shamba la dolli umefikia wapi?Sorry kwa maswali .
 
Serikali itumeme ujumbe chini ya Prof Maji marefu iwaombe Washiri aka wazee wa mila, labda watatulia.
Watawala wakumbuke migogoro ya ardhi Meru haikuanza leo, wameachia mbuyu ukue hadi ukomae, wamesahau mbuyu ulipokuwa kama mchicha wangeweza wangetuma hata mtoto kuung'oa sasa watalazimnika kuleta ma-buldozer na grader ili kuung'oa.
 
Safi sana...on my way to assist them nikiwa na dumu zangu kadhaa za petrol.
 
Mashamba yapi hayo coz yapo mengi yenye migogoro..........na Je ule mkutano wa Mkuu wa mkoa na wananchi wa kijiji cha kitefu kuhusu mgogoro wa shamba la dolli umefikia wapi?Sorry kwa maswali .

Inasemekana Mzungu alikubali kugawana ekari tatu tatu na wananchi, na mzungu mwenyewe aliomba yeye pia akatiwe ekari tatu wameru wakamkubalia.
Sijajua kinachoendelea.
 
Hii ni vita ya ukombozi inapiganwa, serikali wanadhani hizo bomu wanazopiga zitaleta amani ya tanzania. ninachoona ni kwamba serikali imeongeza chuki mara dufu kwa wananchi wa tanzania
 
Serikali itumeme ujumbe chini ya Prof Maji marefu iwaombe Washiri aka wazee wa mila, labda watatulia.
Watawala wakumbuke migogoro ya ardhi Meru haikuanza leo, wameachia mbuyu ukue hadi ukomae, wamesahau mbuyu ulipokuwa kama mchicha wangeweza wangetuma hata mtoto kuung'oa sasa watalazimnika kuleta ma-buldozer na grader ili kuung'oa.

No imtume Tendwa ndiyo yuko karibu nao sana...ndiyo maana walimweleza wazi kuhusu tishio la maisha kwa Lema iwapo angeshiriki kampeni Arumeru Mashariki...Japo Kamanda alijimwaga kama kawa kwenye kampeni na ushindi mnono ukapatikana.Pipooooooooozi...Pawaaaaaaaaaaaaa.
 
tugawane tugawane tugawane, why kila kitu mchukue nyie wageni ,
 
Tujuze kinachoendelea wameanza kurusha mabomu?
Inasemekana serikali imechukua shamba la wameru kwa nguvu na wameamua kufunga barabara ya Moshi Arusha sasa hivi na askari wa kutuliza ghasia ndio wamefika eneo la tukio na wameanza kurusha mabomu!
 
imefika wakati wa kila mwananchi kutafuta mabadiliko na kujikomboa mwenyewe...
 
Inasemekana serikali imechukua shamba la wameru kwa nguvu na wameamua kufunga barabara ya Moshi Arusha sasa hivi na askari wa kutuliza ghasia ndio wamefika eneo la tukio na wameanza kurusha mabomu!
Wameru waachane polisi nyie tulieni majumbani mwenu mnakumbuka yale mauaji ya Mwaka jana hapo Arusha? Hivi mnafahamu kwamba wale Polisi walio lenga shabaha Arusha na Nyamongo walizawadiwa?
 
Back
Top Bottom