NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

Ukweli ni kwamba matokeo ya kidato cha nne yako hadharani yanatangangazwa mchana huu wizarani rafikiangu mwandishi wa gazeti la mwananchi amenipa hiyo tipu kwamba wameitwa kupewa hayo. Na habari alizopata ambazo bado si za uhakika ya kidato cha sita nayo ni leoleo au kesho mapema ila Waziri ameombwa asitangaze ya kidato cha sita bali baraza la mitihani lenyewe.

ok thanks mkuu kwa kutujuza...
 
document unaulizia humu? kweli we mtoto mdogo tena kizazi cha maandamano na migomo isiyo ya msingi. Nenda pale wizarani pana reception au kamuulize afisa habari wao pale.
 
Aisee matokeo yatoke tuu Tumengojea sana jamani

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu aksante kwa manews any update

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Yah!! Kutona na kikao kilichokuwa kinaendelea leo kati ya wizara na wadau wa NECTA. NECTA wametujuza kwamba ufaulu umeshuka na kuwa chini ya asilimia 43, hii ni kinyume ya matarajio ya walio wengi especially wazazi, walezi na wale waliochora mazombi ambao wengi wao walitegemea muujiza.
 
Yah!!
Kutona na kikao
kilichokuwa kinaendelea leo kati ya wizara na wadau wa Necta,Necta
wametujuza kwamba ufaulu umeshuka na kuwa chini ya asilimia 43,hii ni
kinyume ya matarajio ya walio wengi especially wazazi,walezi na wale
waliochora mazombi ambao wengi wao walitegemea muujiza;Angalizo-Naogopa
kusanuka zaidi Mods wasije ondoa huu uzi ukizingatia mi mwenyewe nipo
jikoni

Mtu mzima uliejikoni umekunya kwenye hii forums.
Hakuna cha kuwa karibu na jiko wa dinning umesoma gazeti wa mwananchi
tena hukulielewa mtu mma Ovyoo kuwapa presha watoto wa wenzio hakuna
kushuka kwa matokeo tena yamepanda kwa taarifa yako!
we si unakaa jikoni sisi tupo mezani kule wanako kula
 
Kiukweli kwa taarifa nilizozpata matokeo yanatakiwa kutangazwa leo lbda kma itatokea cntofaham wizaran+ necta.
 
Mkuu there is no miracles in education tunafanya utani na elimu yetu hasa this insect termed magamba
 
Hii thread inachosha sasa after all matokeon si yalitoka. Najua nyie akina dogo hamkuyapenda, na sasa you are waiting anxiously for the new results of which we know have been "doctored". It is a shame for you who are waiting for such results when you truly knows you messed up.
 
Back
Top Bottom